Liverpool sasa kila media ni Salah
Mwaka jana media zote ilikuwa kuhusu Mane!
Ona bao na Everton alilopaswa kutoa kwa Salah,ona jana ile kapiga tiktak wkt angetulia tu!
Cha kufanya Klopp akae nae chini amuambie,akirudia tena akae nje!
Ila kwa kipa sasa ni muda mzuri wa kumpanga kipa Ward


Nahisi Ni Hile Red Card aliyopata vs Man City Ndiyo iliyomuondoshea Confidence! Na lawama alizotupiwa na Mashabiki Siku hile ya Everton pia Zimezidi Kumuondoshea Confidence! Pia Kushine Kwa Salah kunakomfanya aonekana Salah Main man Wa Timu Kumemjengea Kitu kama Jealous flani hivi ambayo Psychologically inamuondoshea Confidence! Na vile vile inaonesha Wazi Kufanyiwa Rotation Huwa Haridhiki hasa akiangalia Kuwa Kwanini Salah yeye Hafanyiwi Rotation!!!

Ni kweli Kocha anapaswa Akae naye Kitako Anongee nae kabla Hali ya Kiwango Chake Haijawa mbaya..
 
Nahisi Ni Hile Red Card aliyopata vs Man City Ndiyo iliyomuondoshea Confidence! Na lawama alizotupiwa na Mashabiki Siku hile ya Everton pia Zimezidi Kumuondoshea Confidence! Pia Kushine Kwa Salah kunakomfanya aonekana Salah Main man Wa Timu Kumemjengea Kitu kama Jealous flani hivi ambayo Psychologically inamuondoshea Confidence! Na vile vile inaonesha Wazi Kufanyiwa Rotation Huwa Haridhiki hasa akiangalia Kuwa Kwanini Salah yeye Hafanyiwi Rotation!!!

Ni kweli Kocha anapaswa Akae naye Kitano Anongee nae kabla Hali ya Kiwango Chake Haijawa mbaya..
Dah!! jamaa yuko frustrated sana...
Hope atarud kwenye good line soon!!
 
Pole sana mtani na timu yako siku ya jana
Ila ukweli utabaki kuwa ukweli Ninyi ni wabovu kupitiliza
Sidhani kama ulitegemea droo after first half au baada ya kutufunga bao la pili
Hapa FA wasifikirie wamepeleka timu uefa yaleyale ya sevilla
Sidhani kama liver mtabeba taji lolote this season hata next season
Coutinho!!!!!!? kachukue makombe timu nyingine hii haikufai


Sasa Wewe FA wanapokupeleka Huko UCL huwa wanakupeleka Ukachukue Kombe na Huwa unakujanalo?
Wewe Kinachokusumbua si chengine Bali Ni Wivu tu kuona Wewe humo uliyozowea Kufumuliwa na WaSpain wakati wenzenu Tunapeta.
 
Klopp: We have to improve in race for the Champions League

Huyu Klopp anaujua Ukweli Wote Kuhusu Makosa Ya Defence Yetu pamoja na Mfumo mzima unaocheza Timu yetu
! Lakini Kwanini Anashindwa Kuyasawazisha Na Anaendeleza Kiburi????
Hapa anakiri mwenyewe lakini next games atakuja kuyarudia yaleyale ya Siku Zote...

"
HATIMAE HAPO ETI ANATWAMBIA TUPIGANIE NAFASI YA UCL"..

Hivi hilo la kugombania Top 4 ndiyo tulilomletea???
Sisi tunataka Trophy Bhana na sio Top 4.
 
Monaco star Thomas Lemar would prefer to join Liverpool rather than Arsenal in the January transfer window

Source: The Independent
 
Hi guys.

this might prove to be a wonderful chirstmas gift ever.

have received a msg telling me VVD to LFC is a done deal.

honestly sijui kama ni kweli au ni another "guess" but lets hope for the best.


Merry Chirstmass to y'all. stay blessed.
Habari hii nahisi ni ya kweli naiyona kila kona aisee.
 
Hi guys.

this might prove to be a wonderful chirstmas gift ever.

have received a msg telling me VVD to LFC is a done deal.

honestly sijui kama ni kweli au ni another "guess" but lets hope for the best.


Merry Chirstmass to y'all. stay blessed.
Am afraid VVD is going to end up being another Levron.

The gung-ho playing style that Klopp cherishes and embraces (but which seriously lacks balance) is always going to undo any good coming out of defensive resources, personnel notwithstanding.

Trust me guys....with Klopp at the helm, our biggest silverware chance rests with cup competitions only. Not the marathonic EPL, which requires tweaks and nous week in week out.

Klopp is a "football beauty", probably second only to Guardiola - there's absolutely no question about it - but he has got only one way of playing. This is going to be our perennial undoing.

For some of us....Klopp is like the most beautiful chick in town that every man would dream of laying - but the girl screws everybody else in town, leaving you heartbroken and in tears day in day out!
 
Henderson's form has meant that he has been, rather unfairly, the first target for blame when Liverpool have struggled. However, his manager has been first to defend him from the intense criticism. Klopp has claimed Henderson has the "hardest job in world football" in succeeding Steven Gerrard as Liverpool skipper.

But unlike Gerrard, the Liverpool captain is no longer a position that means you're a starter for every game, no matter the importance, with Henderson sitting out the Champions League decider with Spartak Moscow earlier this month.

The 27-year-old doesn't have the easiest of tasks in this attacking Liverpool side, but it's certainly fair to want more out of him.
 
Virgil van Dijk 2017/18 Premier League numbers:

12 games
81 clearances
29 interceptions
13 blocks
10 defensive actions per game
59/80 aerial duels
74% aerial duel success
71% successful total duels
86% passing
accuracy

Jamaa Tunapaswa Tumchukue Kwa Hali Yoyote hile Kwani Stats Hazidanganyi Performance Yake.
 
Back
Top Bottom