Uwezo umewaishieni hapo visingizio hatutakiYaani hii michezaji mingine hii mi Gomez sijui ilitaka kuokoaje? Jinga sana.
Uwezo umewaishieni hapo visingizio hatutaki
Kila goli likifungwa lazima kuwe na makosa yamefanyika
View attachment 657384Hivi hapa kuna timu inashiriki UEFA?????!!!!!!
Uwezo umewaishieni hapo visingizio hatutaki
Kila goli likifungwa lazima kuwe na makosa yamefanyika
How old is he?
Jana mane,coutinho,salah,firmino wote hawa wameanza mi nilijua gunners baada ya kufungwa Yale mawili mvua ya mabao ilikuwa inashuka lakini kumbe kichwa cha mwendawazimu 3 goals in very few minutesPoint moja ugenini HAINA ubaya wowote!
Wewe team yako haijawahi pata sare?
Nahisi Sadio Mane Msimu huu Kapotea Mchezoni! au Macho yangu tu??
Pole sana mtani na timu yako siku ya janaHapo Ndipo ulipoishia Kushangilia Kupata Sare na Liverpool tena game ya Nyumbani huna jinsi....!
Sisi wacha tujilaumu Coz Kutoka Sare na Janvi letu kama Arsenal tunaemla 4,4 Ni Masikitiko...
"Endelea Kuja hapa Kufurahi"
Tupatieni siyeNahisi Sadio Mane Msimu huu Kapotea Mchezoni! au Macho yangu tu??