Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Na huyu Firmino afanye mazoezi ya Kucheza Kwa usahihi Mpira ya Vichwa Manake anapoteza nafasi nzuri tu...
How old is he?Tetesi
Liverpool inapambana na Borussia Dortmund kumpata beki kisiki wa Basel Manuel Akanji. (Independent)
Seconded!Japo ni dua la kuku lakini ningefurahi sana kama Hendo angeumia mpaka mwisho wa msimu.
Klavan hafai hizi game,, af tena umueke na lovren!!!
Na leo kisingizio ni rotation ??haielewek ni milner au can nan ndo DM..
What do you expect!!!Rotation zisizo na msingi.. inafanya game kama ya leo waanacheza only 4 players