Our team had a very good test against a top top team, mambo machache niliyoyaona…

1. Karius; - He’s gaining confidence na leo ametuonyesha how good he can be with his feet

2. Arnold:- we all know the level and class robben deserves to be…now kamuulize leo imekuwaje? Huyu mtoto kamfichaaaaa…kampotezaaa!!

3. Moreno:- ngoja niache nimuongelee mwishoni…eheheheheheee

4. Matip & Lovren:- Kwenye game hii Matip ameonyesha ulivu wa akili tofauti na matches zilizotangulia na communication bwt the two was better

5. Can:- naona bado yuko likizo, technical team should do something

6. Hendo:- Has been solid and covered well for the back line…as solid as needed!

7. Coutinho:- Ninachokiona kwa magician ni maturity…kuna tofauti kati ya coutinho wa misimu iliyopita ukimlinganisha na huyu wa games hizi chache za pre-seasons. Umakini umeongezeka katika maamuzi yake

8. Salah:- Shughuli iliwapata leo…mpaka Alaba misuli imeshika…noma!

9. Maneeee:- Kifaa kimerejea. Goli zuri! Pasi kwa Morena kabla ya cross utaipenda!

10. Firmino:- Mzee wa shughuli kama kawaida muda wa kazi ni kazi. A good pressure to defenders and a perfect assist to Mane

11. Now back to Moreno…MOTM hakuna ubishi!!!
 
Jinsi team inavyokwenda kwenye hii preseason, sioni kaa kuna haja ya kulipa zile 60 kwa V dijk. Tukomae na waliokuwepo maana wanaimprove vizuri sana.
 
upload_2017-8-2_10-26-10.png
 
Jinsi team inavyokwenda kwenye hii preseason, sioni kaa kuna haja ya kulipa zile 60 kwa V dijk. Tukomae na waliokuwepo maana wanaimprove vizuri sana.

Mkuu Huyu Loveren Can't be trusted anymore! VD katika Backline yetu anahitajika kwa gharama yoyote hile! Otherwise we'll enjoy the show as last season...
 
Still bado kuna umuhim wa kusajili the best DM available...Ila kujiweka kwenye nafasi nzur
 
Neymar rasmi kaondoka Barca muda huu!
Karuhusiwa kwenda PSG kwa mazungumzo na atakuwa Paris mchana huu!
Klopp hawezi mzuia Coutihno kwenda Barca sana sana ata susia kucheza!
Tujiandae maisha bila Coutihno na kwa sasa kuna options kibao za kuziba pengo lake
 
Mkuu Huyu Loveren Can't be trusted anymore! VD katika Backline yetu anahitajika kwa gharama yoyote hile! Otherwise we'll enjoy the show as last season...
Yaani Lovren ni wakuuza kabisaa, hata acheze vipi. Jamaa sometime kama teja !
 
Neymar rasmi kaondoka Barca muda huu!
Karuhusiwa kwenda PSG kwa mazungumzo na atakuwa Paris mchana huu!
Klopp hawezi mzuia Coutihno kwenda Barca sana sana ata susia kucheza!
Tujiandae maisha bila Coutihno na kwa sasa kuna options kibao za kuziba pengo lake
Duh!
Hizi ni habari mbaya sana kwetu mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our team had a very good test against a top top team, mambo machache niliyoyaona…

1. Karius; - He’s gaining confidence na leo ametuonyesha how good he can be with his feet

2. Arnold:- we all know the level and class robben deserves to be…now kamuulize leo imekuwaje? Huyu mtoto kamfichaaaaa…kampotezaaa!!

3. Moreno:- ngoja niache nimuongelee mwishoni…eheheheheheee

4. Matip & Lovren:- Kwenye game hii Matip ameonyesha ulivu wa akili tofauti na matches zilizotangulia na communication bwt the two was better

5. Can:- naona bado yuko likizo, technical team should do something

6. Hendo:- Has been solid and covered well for the back line…as solid as needed!

7. Coutinho:- Ninachokiona kwa magician ni maturity…kuna tofauti kati ya coutinho wa misimu iliyopita ukimlinganisha na huyu wa games hizi chache za pre-seasons. Umakini umeongezeka katika maamuzi yake

8. Salah:- Shughuli iliwapata leo…mpaka Alaba misuli imeshika…noma!

9. Maneeee:- Kifaa kimerejea. Goli zuri! Pasi kwa Morena kabla ya cross utaipenda!

10. Firmino:- Mzee wa shughuli kama kawaida muda wa kazi ni kazi. A good pressure to defenders and a perfect assist to Mane

11. Now back to Moreno…MOTM hakuna ubishi!!!
Ahsante sana Liverpool kwa kumpika Coutinho, nadhani huu mda sahihi wa Barcelona kumchukua coutinho
 
Back
Top Bottom