Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

shida hamna pesa ya kumlipa nyinyi inayoendana na kiwango chake
Shida sio pesa... Ila nafkri unajua namna wachezaji wa South America wanavoztukuza Real Madrid na Barcelona..
Pesa anayolipwa coutinho pale lfc n kubwa tu
 
Sio wabrazili tu hata any player anajua kuwa kilele cha SokA hapa ulimwenguni ni Kucheza Barcelona au Madrid.....hizo klabu nyingine ni vyuo tu vya kuwajenga wawe na viwango ili waje Barca au Madrid
 
Daaaah kumbe ndo kamshara kadogo tu hivyo, ndo maana Coutinho kakubaliana terms na Barcelona Ila bado kwa Liverpool na klop tu kukubali....
75,000 mpaka 150,000 liverpool ! Barca watampa 200,000 tu !
 
Ahsante sana Liverpool kwa kumpika Coutinho, nadhani huu mda sahihi wa Barcelona kumchukua coutinho

Mchezaji awae-yote, ana haki ya kuchezea timu anayojisikia kuichezea. Even though club ikiwa ndiyo mwajiri wake, ina haki vilevile ya kusimamia makubaliano ambayo inakuwa imeingia na mchezaji husika

Phil ni mchezaji muhimu kwa Liverpool kwasasa na kama Liverpool itaweza kumbakisha then it will be a good job. But kama ataondoka kwenda barca, mimi binafsi (Sisemei what other people might feel) ninamtakia heri na mafanikio.

Wachezaji wengi ambao ni portugues/Spanish speakers wanavutiwa na kucheza for Laliga giants, so kama Phil feels the same way then hilo siyo ajabu. What I can say…wakati Lui anauzwa alikuwa kwenye kiwango cha juu sana! Phil hajawahi kufikia hata nusu yake…lakini aliondoka. Madrid wanamuhitaji and probably player wants to go but Old Toilet wanajitahidi kubana!
 
Sijui Liverpool mnaumwa ugonjwa gani, hivi hamuwezi kupambana na mambo yenu bila kuitaja Man Utd, au ndo ile kauli mkubwa jalala?
 
If you want compare good and evil, you have to mention Old Toilet, even if you want to compare sheet and shit, Manure is good example !
 
Poleni sana mkuu, pambaneni na hali yenu, kuwa obsessed na Man Utd kutawaletea vidonda vya tumbo.
 
Huwezi kuwa obsessed na teja hata kama ni mzazi wako, lakini kama nduguyo teja kakuzidi kwa kila kitu, pesa, fame, ufalme lazima uwe obsessed.

Pole, [HASHTAG]#Pambana[/HASHTAG] na hali yako
Teja ni teja tu, halikawii kujiona la maana
 
Last season, Liverpool tulianza kwa mbwembwe. Wababe wote walikaa kitako.
Season hii naona mambo mazuri zaidi. Team strength ni kubwa.
Tukiendelea hivi, ninaamini ubingwa upo Anfield.
 
Mchezaji awae-yote, ana haki ya kuchezea timu anayojisikia kuichezea. Even though club ikiwa ndiyo mwajiri wake, ina haki vilevile ya kusimamia makubaliano ambayo inakuwa imeingia na mchezaji husika

Phil ni mchezaji muhimu kwa Liverpool kwasasa na kama Liverpool itaweza kumbakisha then it will be a good job. But kama ataondoka kwenda barca, mimi binafsi (Sisemei what other people might feel) ninamtakia heri na mafanikio.

Wachezaji wengi ambao ni portugues/Spanish speakers wanavutiwa na kucheza for Laliga giants, so kama Phil feels the same way then hilo siyo ajabu. What I can say…wakati Lui anauzwa alikuwa kwenye kiwango cha juu sana! Phil hajawahi kufikia hata nusu yake…lakini aliondoka. Madrid wanamuhitaji and probably player wants to go but Old Toilet wanajitahidi kubana!

75,000 mpaka 150,000 liverpool ! Barca watampa 200,000 tu !

Shida sio pesa... Ila nafkri unajua namna wachezaji wa South America wanavoztukuza Real Madrid na Barcelona..
Pesa anayolipwa coutinho pale lfc n kubwa tu

Daaaah kumbe ndo kamshara kadogo tu hivyo, ndo maana Coutinho kakubaliana terms na Barcelona Ila bado kwa Liverpool na klop tu kukubali....

shida hamna pesa ya kumlipa nyinyi inayoendana na kiwango chake

Ahsante sana Liverpool kwa kumpika Coutinho, nadhani huu mda sahihi wa Barcelona kumchukua coutinho

Duh!
Hizi ni habari mbaya sana kwetu mkuu...

Neymar rasmi kaondoka Barca muda huu!
Karuhusiwa kwenda PSG kwa mazungumzo na atakuwa Paris mchana huu!
Klopp hawezi mzuia Coutihno kwenda Barca sana sana ata susia kucheza!
Tujiandae maisha bila Coutihno na kwa sasa kuna options kibao za kuziba pengo lake

Whatever the situation is, Coutinho Will not leave Anfield this Summer! Kikubwa anachoweza ni kugomea Michezo lakini hawezi kujiondosha mwenyewe na wala timu hiokotayari kumuuza kama Wao Wanavyokomaliwa kwa Keita na VG.... About Winter kama atauzwa no one know...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom