Mkuu umetisha sana kwa majibu yako ila mii sijaridhika mana yeye namuona kama mpishi mzuri yani kuliko akisubili mbele
shavu la kushoto Mane kumi Continho shavu la kulia Salah hio tisa hata tukikuweka wewe una score mkuu
 
Mkuu Firminho anatumia mwili wake wote ana uwezo wa kutumia kichwa, miguu yote miwili na ana unyumbulifu pia pale kati anapaweza.
Hizo sifa ndo zinanifanya niamini kua anatakiwa awe nyuma ya mtu.

Jamaa yupo vizuri sana
Jamaa hanati uwanjani
Jamaa anatumikia tim kwa moyo wenye kuhitaji mafanikio ya team na si yeye.

Pamoja na uzuri wa continho lakini ukiniuliza nani abaki kwangu mimi nachagua firminho.
 
Samahani wakuu.iwapo tutamsajili Keita atamkalisha nani bench?Henderson au lalana?

Captain wetu kisigino chake kinamsumbua sana!Kwita ni box to box mido atafaa sana akicheza mbele ya Matip na Van Djiik
Uzuri ni kuwa tuna mmoja wa makocha bora duniani wachezaji wanataja kuja kucheza nae!
Nadhani sasa kucheka kwetu kupo karibu mno!
 
Captain wetu kisigino chake kinamsumbua sana!Kwita ni box to box mido atafaa sana akicheza mbele ya Matip na Van Djiik
Uzuri ni kuwa tuna mmoja wa makocha bora duniani wachezaji wanataja kuja kucheza nae!
Nadhani sasa kucheka kwetu kupo karibu mno!
Daah...umenifariji sana
 
Hana Bei zaidi ya €50.
Kabisa yani. Naby Keita sio wa kulipa pesa nyingi hivyo. Very risk kwa mchezaji ambaye Liverpool hawajawahi mfatilia kwa muda mrefu. Only last season tu. Hatari sana.
 
Kumbukeni bei wanaoanga wao hamuwapangii jamani. Walishaweka kwennye contract yake kabla hata hamjamjua kuwa atakayekuja 2017 bei yake ni £ 70 na atakayekuja kumtaka 2018 bei yake ni £45
Bei inakuwa siri ya klabu. Mchezaji aki perfome vizuri wanatangaza watakayo value kwa wakati huo. Haiwi kwenye mkataba wa mchezaji anapo sign mkataba.
 
Magoli 90+ ya msimu wa 2016/17 ni ishara tosha kuwa tuna striking force nzuri Ulaya yote tu... ndiyo maana kamuongeza dogo Dommy ili ajifunze na kukomalia kisoka pale.
Uzuri wa Liverpool fc wachezaji wa kikosi cha kwanza ni wafungaji ukiondoa Clyne, Migs na Karius( hawakufunga goli msimu ulioisha). Hii inaonesha nguvu ya ushambuliaji.
Kumpata Keita kwafaa zaidi kuimarisha ulinzi na ushambuliaji.
Beki wa kushoto bado kuna nafasi (ingawa ndogo) kwa Flanagan na Gomez (yawezekana usajili wa beki wa kushoto ukachelewa kwa sababu ya uwepo wao).
Ni mawazo yangu.....
Sijuwi kwa nini klop hampi Flanagan hilo shavu. Dogo anakaza na ni die hard Liverpool.
 
Ni kweli kwamba mashabiki wengi wa Liverpool ni watu wazima kwa umri? Miaka 45 na kitu?
 
Ni kweli kwamba mashabiki wengi wa Liverpool ni watu wazima kwa umri? Miaka 45 na kitu?
Kweli sababu tulianza shabikia ligi ya Uingereza wakati huo wa magiant wa ukweli. Watoto wadoho ndio kina Chelesea funs.
 
7b7a36ae07fe0172c753fdb91be9f58e.jpg
 
Back
Top Bottom