Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mhhh bora, maajabu wamekubali kutoa hizo £70 basi na Van Djik kuna uwezekano wa kumchukua aiseh.
hata vvd nae ni liverpool playr lakini atachelewa kusign pesa sio tatizo safari hii fsg wamepania
 
Hivi LB nae si inabidi apatikane au Milner atacheza nafasi ile ile next season?? Lakini napo game zitakuwa nyingi lazima apatikane wa kumsaidia.
 
kuna beki moja ya kushoto ya hull cty tumeshatuma maombi anaitwa andy .....(jina la mwisho limenitoka kidogo) natumai tutakubaliwa
 
Aah kumbe, striker sijui watamsajili nani aiseh maana kila rumour inaishia kuwa rumour hivo hivo inapotelea hewani, ngoja tuone hii ya keita ikamilike kwanza.
 
Mhhh bora, maajabu wamekubali kutoa hizo £70 basi na Van Djik kuna uwezekano wa kumchukua aiseh.
hiyo ni personal terms kwa mchezajiwamekubaliana toka juzi. sema jamaa watatukazia km walivyofanya roma ili tuweke mpunga 70 mezani. but i hope this guy will be there at anfield soon
 
Let's hope so.
 
Hii source yako n ipi?
Maana kinq James pearce hawajasema hii
(the firm) hizo za chini chini sana na LP wameshamruhusu keita kuongea na lfc just a moment utaanza kuzipata huko kwakina james
 
Aah kumbe, striker sijui watamsajili nani aiseh maana kila rumour inaishia kuwa rumour hivo hivo inapotelea hewani, ngoja tuone hii ya keita ikamilike kwanza.
ya keita imeshamalizika hio kwa 90% mkuu kwenye striker klopp anamtumia firmino kama striker force no.9
 
kuna beki moja ya kushoto ya hull cty tumeshatuma maombi anaitwa andy .....(jina la mwisho limenitoka kidogo) natumai tutakubaliwa
Kumbe anaitwa Andrew Robertson hiyo habari ndio nimeisoma hapa.
 
Aah kumbe, striker sijui watamsajili nani aiseh maana kila rumour inaishia kuwa rumour hivo hivo inapotelea hewani, ngoja tuone hii ya keita ikamilike kwanza.

Magoli 90+ ya msimu wa 2016/17 ni ishara tosha kuwa tuna striking force nzuri Ulaya yote tu... ndiyo maana kamuongeza dogo Dommy ili ajifunze na kukomalia kisoka pale.
Uzuri wa Liverpool fc wachezaji wa kikosi cha kwanza ni wafungaji ukiondoa Clyne, Migs na Karius( hawakufunga goli msimu ulioisha). Hii inaonesha nguvu ya ushambuliaji.
Kumpata Keita kwafaa zaidi kuimarisha ulinzi na ushambuliaji.
Beki wa kushoto bado kuna nafasi (ingawa ndogo) kwa Flanagan na Gomez (yawezekana usajili wa beki wa kushoto ukachelewa kwa sababu ya uwepo wao).
Ni mawazo yangu.....
 
Huyu dogo Flanagan msimu ule na Brendan Rogers tulipotaka chukua ndoo alikuwa vizuri sana na kikweli mchango wake ulionekana sema ndo bahati mbaya alipata jelaha lile form yote ikapotea, hivi msimu uliopita kabla ya kuwa loaned alicheza hata game moja chini ya Klopp?? Alikuwa vizuri sana bahati mbaya sikuwahi ona games zake wakati yupo loaned.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom