siku hizi defenders wamekuwa ghali kama attackers, naona mpaka ratiba wa epl ana kitu na sisi siyo bure august tuna 2 big games versa Arsenal na Man city
Jmn naomba mniarifu kama LFC tumeshasajiri
Deal is still On..
tuli-apologise ili kuepuka further complaints
though FA will hold a meeting baina ya LFC na Southampton ili kuclear the air, kwasababu pande zote mbili zimeona ni vyema zikaendelea mahusiano yao ya kawaida.
Juzi, southampton walilalamikia Chelsea kwaajili ya Tapping up kwa huyo huyo Van Djik. but haikuwa ni big deal kwasababu ilikuwa ni Chelsea (siyo media darlings).
We'll resume negotiations, but kuna kila dalili ya kuongeza £10m. kwasababu mara ya kwanza Soton walikuwa wanataka £50m so kutokana na ile debacle i guess watamuachia kwa £60m.
Clubs use medias a lot man.
Ac Milan/Southampton/porto/Flamengo/Gremio/Shakhtar/Dynamo Kiev etc zote hizo zishawahi kutumia medias kwa ajili ya kutoa threats za kufile complaint etc..
Southampton used the Local paper "southampton echo" kuissue hizo threats kabla ya kwenda FA kufile the official complaint..
There is no way, Van Djik's camp wangetumia liverpool local papers kuleak story ya kuwa kakubali kuja LFC, Carragher alikuwa anamaanisha kuwa mtu wa ndani ya LFC aliyeleak hizo habari ndiyo anatakiwa kuomba msamaha na siyo club. (fingers pointed at Michael Edwards)
Paul Joyce/Dom and Cos ndiyo walitumika kileak hizo habari, no way Van Djik angewatumia hawa local journos kutoa hizo habari, wasingekubali hata kidogo, kwasababu huwa wanapewa habari moja kwa moja na Club. thats why katika saga zote za transfers za kina Suarez/Sterling/Torres/Mascherano etc kambi zao/players wenyewe hawakutumia local papers kuleak news/interviews kwasababu Local journos wanakuwepo kwa maslahi ya club husika (Pearce/Barett/Dom/Mellisa/Paul/Neil), kama ingekuwa ni kambi ya Van Djik ndo imeleak hizo habari, breaking news zingetoka kwa kina Maddock/John Cross/Andy hunter/Peter rouke/Graeme bailly and most of all Di Marzio.
hakunaga club duniani ambayo huwa inaleak news kupitia kwa "neutral journos". madrid use Marca, Barcelona use Catalan Newspaper, Milan/Inter use Gazzete delo sport, LFC use Liverpool Echo, Arsenal use BBC and so on.
utakuwa huijui FSG na LFC vizuri kama unadoubt nani ameleak zile news.
kwenye post yangu nimesema ile tweet ilikuwa ni baadhi ya contents za full statement ya PSG, (statement ya PSG ilienda moja kwa moja kwenye media (press release)) they used twitter kupost whats in that statement. LFC hawakuissue press release yoyote, walipost statement kwenye official website and thats that.
Kuna tofauti ya kutumia media na kuendeshwa kwa kutumia media. Soma vizuri nilichokiandika utaelewa what I meant…
Again unachanganya kwenye story leaking, like Carragher, sija pin point kwamba VVD ndiyo mhusika. What I said…kwenye hili inawezekana VVd mwenyewe kachemsha! Embu jiulize, kama hakuropoka kwamba anataka kwenda LFC, hiyo story ya kuvujisha ingetoka wapi? Tuliona mapema kwamba Lukaku amekuwa mjanja, kasema anajua anakokwenda ila hajasema ni wapi…fans wamebakia na guessing ya Chelsea…mpaka leo kuna fans wa LFC wanahasira na raheem, siyo kwasababu alihamia mancs but ni sababu ya mboyoyo zake za kwenye media…
Kuna tetesi kwamba VVd alitumiwa tactical video clips kumuonyesha the way he will be fitting in the system. Do you think kambi ya Liverpool ndiyo walivujisha?
Following our conversation, siyo mimi wala wewe ayeijua FSG na LFC vizuri…even Klopp and his team members wako darasani to learn the culture…story leakage ni tukio nyuma ya pazia
Bandiko lako ni kuelezea kujitoa kwa PSG kuhusu majadiliano ya usajili. What LFC did is to officially apologizing baada ya kutaka kutuhumiwa kwa kufanya udanganyifu. Hivyo ni vitu viwili tofauti!
Kingine cha kushangaza…reports from echo mentioned that Soton did made any formal complains to FA…then why tumekimbila kujitia aibu?
Ataendelea na mkopo huddersfieldHUYU ATAMCHALLENGE MIG View attachment 524624
DAHAtaendelea na mkopo huddersfield
Ataendelea na mkopo huddersfield
HABARI NZURI SANA KWANGU NAMKUBALI SANALiverpool inambakiza Wards sababu Manninger kaisha ondoka!Na huyu atakuwa kipa namba moja wa Liverpool
Ward mzuri zaidiWard ova Mig?!! I go for Mig ase.