Habari yako mkuu Mos...1.
1. chelsea bado walikuwa na interest mpaka juzi, walijitoa baada ya leaks za juzi. kwasababu tayari Van Djik aliweka wazi kuwa anataka kuja LFC
2. The same kama Chelsea, the player chose us (and Mou na Klopp wanaushawishi mkubwa kwa players kuliko Pep. Pep huwa anatumia pesa zaidi ndo maana hata kuja kwake hakujabadilisha mbinu ya City katika usajili "No negotiations")
3. Southampton walipeleka Complaints FA jana, ndo maana LFC wakaamua kuomba msamaha haraka, ili kuepuka."transfer ban" FA hawawezi kuchukua hatua zozote kwasababu Soton wenyewe wameamua kudrop complaint yao baada ya ile apology ya jana. kuna ushahidi wa Texts za Klopp Na Van Djik kabla.hata ya March. Soton walikuwa hawana tatizo na hilo ndo maana hawakuzuia kwasababu kila club duniani huwa inasajili kwa mtindo huo (hakuna jipya) but walikuwa pissed na habari kuwa Van Djik chose us wakati negotiations bado zinaendelea.
4. LFC wamefanya illegal tapping..hii njia ya usajili ndiyo inatumika na clubs zote, lakini machoni mwa FIFA ni illegal, PSG were forced kuomba msamaha kwa AC Milan kwenye ile saga ya Thiago Silva. we started kuongea na Van Djik kabla ya permission ya March (kitu ambacho soton hawakuona kina shida) but recent leaks ndo zimewaudhi, na wangetumia ushahidi wa Texts za Klopp na Van Djik kutushtaki.
ishu ya tap in ipo kwenye transfers, FA wakiamua kufanya uchunguzi kina Wenger watakuwa katika hali gani? Wenger huwa anaanza kuongea na mchezaji direct kabla ya Agent, Mourinho huwa anaingia kama kukiwa na ugumu kidogo.
taratibu za FIFA ni kuwa, unaanza kuongea kwanza na Agent wa mchezaji ili kujua kwamba kuna uwezekano wa mchezaji kuuzika/kuja kwenye club husika, Agent akikubali, ndiyo unaicontact club husika, ambapo kabla ya kuingia kwenye negotiations, unaomba ruhusa ya kuongea na kambi ya mchezaji (hasa hasa mchezaji mwenyewe) club husika inaweza kukubali au kukataa, ili kupisha negotiations kwanza. (ukraine/russia clubs ndo maarufu kwa hili)
Sasa club kubwa huwa zinaanza na mchezaji mara moja ili kuturn his head..whens the player head is turned hata agent anakuwa hana nguvu.
Wenger did to Suarez/Sanchez/Ozil/Xhaka/Cech/Petit etc. utakumbuka Ozil wanted to sack his father kama agent wake, kwasababu he wanted him to join PSG instead of Arsenal (Wenger alikuwa kishapiga simu muda mrefu sana).
na kama FIFA wakiamua kufanya uchunguzi wa suala la Mbappe club ipo itapona?,Klopp/wenger/Mou/Madrid wote wameongea na dogo, but Monaco are keeping it cool kwasababu wanaelewa ndo mchezo unavyoenda kwa sasa.
Negotiations strategies za FSG kutumia kina Paul Joyce and Cos ndiyo zinaticost kwa sasa.
Kwenye miaka ya hivi karibuni suala la mchezaji anakwenda wapi limekuwa likiamuliwa zaidi na guvu ya pesa na mbinu nynginezo. We’ll all remember what Chelsea did to get Willian who was already on the hand of Tottenham…and what did Ferguson did to sign Berbartov while he was already on the way to the other side…
I think kwa wacheza ambao wanajali kipaji chao and would like to enjoy their game will always choose Pepe over Maureen…
Soton complains ilipelekwa juzi baada ya board meeting…LFC wakapiga kimya! The next day tukaona jamma wameongaza dau la mauzo from toka 50 to 75m pounds…guess what happened after!!? Kocha kuwasiliana na mchezaji anaetaraji kumsajili siyo kitu kigeni ingawa siyo utaratibu rasmi…but I think them get pissed with the so called leaked story ni kwasabau waliona biashara inaharibika
If tapping in is illegal then they should take action ili isiendelee kutumika sababu itajenga hisia kwamba kuna watu ni untouchable! As far as I remember sababu moja wapo kubwa ya AC Milan kuwauza Ibra na Thiago kwa PSG ilitokana na wao kuyumba kiuchumi rather than PSG using back doors… Thiago kwenye interview yake ya kwanza as PSG player aliweka wazi kwamba hakutaka kuhama AC Milan but ni AC Milan wenyewe ndiyo walimlazimisha kuhama
Sasa kama PSG uses the same strategies like other big clubs, then how come unawalaumu tena?