Kweli kabisa Ward ana uwezo zaidi ya pickford aliyeenda EvertonLiverpool inambakiza Wards sababu Manninger kaisha ondoka!Na huyu atakuwa kipa namba moja wa Liverpool
Hata kocha wa hudder (best wa klopp) ashasema ataongea na klopp amtumie tena. Dogo bado mdogo he will go out. Manninger alikuwa kama.anafundisha wengine kudaka alishazeeeka. Bado tutamuona mignolet golini na yule mjerumani as no.2 au wakibadilishana. But dogo ataenda hudderslfield tena.Liverpool inambakiza Wards sababu Manninger kaisha ondoka!Na huyu atakuwa kipa namba moja wa Liverpool
deal done kkNo official information
Hii habari ya Aubameyang naona leo imepamba moto kweli naomba zisiishie kuwa rumours jamaa wamwage mpunga kweli dogo aje anfield.Hivi hatuwezi kumpata Aubameyang?...then Van Djik, afu Ox... vile tumemnasa Salah, hapo tutakoswa bek tatu..tu na Dm ili jeshi likamilike
Hii habari ya Aubameyang naona leo imepamba moto kweli naomba zisiishie kuwa rumours jamaa wamwage mpunga kweli dogo aje anfield.
Aubameyang hawezi kucheza chini ya klopp mkuu, hizi ni tetesi tu kuna zaidi ya asilimia 90 PEA atabaki dortmund msimu ujaoHivi hatuwezi kumpata Aubameyang?...then Van Djik, afu Ox... vile tumemnasa Salah, hapo tutakoswa bek tatu..tu na Dm ili jeshi likamilike
Aubameyang hawezi kucheza chini ya klopp mkuu, hizi ni tetesi tu kuna zaidi ya asilimia 90 PEA atabaki dortmund msimu ujao
Chini ya klopp Auba mara nyingi alikua anachezeshwa kama winger nafasi ambayo jamaa hakua comfortable nayo, Huyu huyu klopp ndio alitaka kumuuza AS Roma hadi watzke alipoingilia kati.Mbona kacheza chini ya Tuchel pale BVB kocha ambaye hamfikii kwa lolote Klopp?
Kwa nn Aube asucheze chini ya Klopp?
Hilo dau kubwa sana FSG sijui kama watakubali kutoa kweli.Hiyo habari ni changamsha jiji. Hatuwezi.mwaga 71m labda kama tutabadilishana na mchezaji kama tulivyofanya kwa torres 2007 (garcia plus money).