ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,275
- 5,961
Gini hakai benchi.Kwa jinsi.lallana anavyoweza kumaster kila klopp anachohitaji uandhani kuna posibility ya lallana kuanzia benchi?? Kwangu mimi sioni hilo mane na lallana lazima waanzze kwenye flanks. Gini na henderson lazima benchi liwahusu but sturige akiondoka lazima ataletwa proved striker ambaye sio wa benchi