Nadhani Nembo ya Liverpool ingepelekwa Makumbusho tuuu, iwe imebaki katika historia kwamba tulikuwa na timu inaitwa Liverpool
Kipindi cha nyuma nakumbuka uliwahi sema klopp ni kama Rodgers wa kijeruman ila kuna watu walikuja kuku attack na maneno yao ya shombo kama waimba taarabu,

Watu wanalalamika kukosekana kwa mane wakati mechi za hivi karibuni golikipa wenu ndio anakua man of the match, Liverpool ilioanza msimu sio hii inayocheza saizi, NO TEAM WORK, ile mliokua mnaita gegenpresing sijui imepotelea wapi, imefika hatua analaumu upepo na goli la offside la zlatan HAHAAAAÀ hii ni akili ya mtu aliyefilisika kimawazo na kimbinu
 
57fb6775f475754bf80db9ffc76370a3.jpg
 
Wameshachoka hao,kila week hauwezi kukimbia kilomita 12.
 
I see people are already calling for Klopp's head. Am not one of them. I mean YET (yes, a big one!).

Liverpool's big problem:
Our mediocre squad is paying the price for overachieving. Wamejitahidi kwa kadri ya uwezo wao lakini wamefikia kikomo!

Klopp's 1st mistake:
Trusting his world class coaching techniques onto this mediocre bunch!

Klopp's 2nd mistake:
His lack of activity during the current window. Suarez, Cou & Sturridge were all signed in January - remember? So the argument that "there's no available quality during winter" is absolute nonsense!

Klopp's way to get himself and LFC out of this misery between today & next Tuesday when the window shuts:
- Get that moolah from FSG fast and buy Virgil van Dijk (even for >60M quids if that's what it takes)
- Make a swap deal with West Ham...give them Sturridge and get Dimitri Payet in return. With Payet onboard, we will have 2 players (Cou the other one) who can shoot from outside the box. No one else in the current squad can do that!
- Consider upgrading Moreno into a wide attacker, Mr Klopp, just think about it!
- For my heart, please Mr Klopp, can you let PSG have Lalana if they have truly fallen for him?
- If you do all the above, Mr Klopp, even if you lose to Chelsea next week, you have my vote. Otherwise, I will join the bandwagon crying for your head!

Am not crazy, guys. We need to find solutions now....and fast!
 
Kwi Kwi Kwi kwiiiiiii

Mumefika huko kutaka mavichwa ya Klopo
 
- Get that moolah from FSG fast and buy Virgil van Dijk (even for >60M quids if that's what it takes)

Hiyo pesa Klopp hatoi abadani. Kwa yale matamshi ya juzi kuwa hakuna wachezaji kipindi hichi huku hela tunazopeleka zinakataliwa kipindi cha dirisha hili , tusitegemee new face kabisa gari letu ni hili hili hadi msimu uishe
 
Mkuu poyeeee

Iiiiiite ile mamitoh yetu ikubembeleze kiduchu
 
Hiv hawa wachina mbona wanachelewa kutuma ofa kwa FA kuhamishia Liverpool kwenye super league,,,,maana England kumewashinda,,,,

[HASHTAG]#Mwaaafa[/HASHTAG]
 
Kumbe Kuna Watu Walikuwa Wanatuchora tu Waone ni Lini Tutajikwaa!!!

By the way! Kwa Kuwatoa Wasiwasi tu Kuwa Klopp Hana Mpango Wa Kusaini Mchezaji Ndani Ya January ni Kwamba Angalia points hizi ↓↓:

1) Ameshasema Hatamshawizi Mchezaji Kwa Pesa Kuja Liverpool, Bali atamshawishi Kwa Performance Ya Timu..

2) Kamshawishi Hata Yule Useless Lucas asiende Inter Kwasababu Hawezi Kutoa Mchezaji Kwakua Hana Mpango Wa Kuingiza Mchezaji....

3) Kashindwa Kutoa Dau Sahihi la Kumchukua Hata Yule Draxler Mpaka PSG wakamchukua Kwa Kushindwa Kwake...

4) Kuhusu Hao Kina Pulisic, Promes, Dahoud and the likes sio kwamba Hawauzwi No!!!! Ni Kwamba Hayuko Tayari Kutoa Hela....

My Take: Tusitege Sura Mpya Hii January.... Bali Tutegemee Average Player Wa Centi Tano Hapo Summer...
 
Hiv hawa wachina mbona wanachelewa kutuma ofa kwa FA kuhamishia Liverpool kwenye super league,,,,maana England kumewashinda,,,,

[HASHTAG]#Mwaaafa[/HASHTAG]

Sawa Mkuu! Najua Unauchekelea Ubingwa tu Sasahivi Kwasababu Unajua Fika Baada Ya Kuanguka Liverpool Kwa Msimu Huu Hakuna Timu Nyengine Inayoweza Kukudisturb...
 
Back
Top Bottom