Punainen
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,303
- 1,056
Ndiyo uzuri wa kutokuwa mtaalamu sana, wengine tunajua tu hivi vijamaa vimetubania tu, havichezi zaidi ya timu nzima kukaa nyuma kuzuia na counter tu, vimetubahatisha mara mbili, tukaangukia pua, tunainuka maisha yanaendelea... sasa nyie bandugu hadi matusi! Mimi hata tungekuwa tunapigania kutoshuka daraja bado mimi ni Liver, hakuna kususa wala nini.
Hii ndiyo timu tuliyonayo, wachezaji wengi ni wa kawaida. Aina ya mchezo tunaocheza na ukubwa wa kikosi chetu, wamechoka. Kama wana miujiza waifanye, kama hawana popote tutakapoishia...YNWA.
Hii ndiyo timu tuliyonayo, wachezaji wengi ni wa kawaida. Aina ya mchezo tunaocheza na ukubwa wa kikosi chetu, wamechoka. Kama wana miujiza waifanye, kama hawana popote tutakapoishia...YNWA.