Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Finally watu wanaanza kuongea ukweli kuhusu timu yao,Hatimaye kina Pogba,Herrera,Valencia wanasifiwa kuwa ni wachezaji wazuri.Tangu mwanzo tulishasema matatizo ya Liverpool yanajulikana tangu hata msimu haujaanza

1.Klopp ni mmoja ya makocha ambao hawana plan B,EPL unapaswa kuwa flexible game aganist Chelsea/Arsen
al/United ni tofauti kabisa ya game against Sunderland/Stoke/Crystal Palace

2.Liverpool ni timu yenye kikosi kidogo(squad depth) kuna key players kama 4 (Coutinho,Mane,Firmino,Lalana) ukiwazuia hawa umeua timu nzima na kibaya zaidi hawana replacement

3.Defence yote ya Liverpool ni mbovu kuanzia GK,LB,RB,CB only Matip ndio beki mzuri.Kuanzia msimu uliopita Liverpool ilikuwa inashinda 5-4,4-3,3-2.Klopp ameshindwa kabisa kutengeneza defence timu ya Rodgers ilikuwa afadhali EPL bila defence ya uhakika utakuwa msindikizaji.Chelsea/Spurs mafanikio yao yamechangiwa na defence imara while Liverpool/Man City defence mbovu ndio inawaangusha
 
Basi nipo nasoma comments za hawa wazee miezi ile ya 9,10 na 11, na linganisha na wanachosema saizi basi naishia kucheeeeeeeeeka

HAHAHAAAAAAAAAAAAA eti sturidge ni world class
 
Hiyo mamitoh itakupita mkuu itaingia kwenye top four.....

Timueni hiyo Klopo rudisha ile Rrrrrrrafa Benitez asuke upya timu
Hahaaaaa timu yetu mbovu lakini kwa hili la kupitwa nao HAPANA kwa kweli

Benitez anaijua vema UEFA sisi tunataka EPL
 
on a brighter side......je mnatambua kuwa come Wednesday morning next week tunaweza kuwa 2nd kwenye EPL with only 7 points from the top, not to mention kwamba tunaweza pia kuwa kwenye last 16 ya FA cup?

tujitahidi kuweka akiba ya maneno jamani.......there are brighter times ahead bado.

YNWA!
 
Hendo kama nahodha ameshindwa kuhamasisha timu kupata ushindi. Mtazame Rooney anapoitafutia man u ushindi. Hendo vi pass vyake vya square wakati squad inahitaji kupeleka mashambulizi havinipi hamasa.
Ina leta faida gani kwa timu kuwa na touches nyingi zisizo na faida?
Orig na Sturridge kama vile waswahili wa manzese japo wako ulaya.
Amre Can sioni umuhimu wake.
James Milner bingwa wa penati tu. Miongoni mwa wapiga pasi mkaa Liverpool. krosi hazina tija.
Firmino kama mrisho ngassa. anasikiliza jukwaa.
Klopp aongeze safu.
2:Holding midfield Box to box kama alivyokuwa Gerald.
3Striker
4:Wing attacks kama Rashford.
5:Attacking midfield kama Hazzard wa kumsaidia Cout. Sio unamtoa courtinho unamuingiza Orig.
 
Ulivyojibu kwa hasira sasa kama tupo jukwaa la siasa...

Eniwei...fact is De Bruyne kwa sasa ndiyo engine ya Man City.

About Henderson, siwezi kuongea sana coz sijafuatilia though ni mchango mkubwa. What I am waiting to see ni January...Mane akiondoka!!!!
Mentor naona utabiri wako umetimia
 
Hahaa mimi nimeanza kuzoea kumbe kutokushinda ni jambo baya sana na gumu
Mkuu timu yenu hii liverpool ni janga kubwa... Muiteni Trump awatumbue wanao wakwamisha.
Yaani acha kabisa..... si unaona Ntuzu anavyotunyanyasa wee muache wakati mwaka jana tulimsitiri hahahhaha
Mamitoh hii shabiki ya LFC ndio nimekuja kuijoke kidogo lkn wewe kule kwetu baba angu Mourinyo anawapa raha na leo lazima aikick out Hull City na muingie fainali na Soton. Ila yasije kuwatokea ya Ile Soton ya kina Nwanko Kanu
 
Missing sn wewe yaani mpk natamani kuoga nje mchana kweupe

Mwaka wetu huu my dear Eva


"Mwaka Wetu Huu" Since When??
We Will Continue To Keep Pressure On You till the last Drop... Our Next Meeting we gonna Kick Chelsea's Asses to Give Advantage Spurs To Make You Fucking Around...

Me as King Ngwaba I Know Exactly Our Season is Over Coz Everything had Fallen Apart.. But We will Continue to Apply Damn Pressure on You......
 
"Mwaka Wetu Huu" Since When??
We Will Continue To Keep Pressure On You till the last Drop... Our Next Meeting we gonna Kick Chelsea's Asses to Give Advantage Sours To Make You Fucking Around...

Me as King Ngwaba I Know Exactly Our Season is Over Coz Everything had Fallen Apart.. But We will Continue to Apply Damn Pressure on You......
We ain't gonna have any pressure even though we gonna lose to ya..

The second team to follow chelsea is gunners. If we lose to you the gape of points between chelsea and gunners will be 5 points. In this points there are no pressure.

In EPL, The big teams which they don't have pressure are chelsea and utd according to the differences of points. But the Rest like Liverpool, Spurs gunners and City ni pressure tu kwa kwenda mbali na BP.
 
Mkuu timu yenu hii liverpool ni janga kubwa... Muiteni Trump awatumbue wanao wakwamisha.

Mamitoh hii shabiki ya LFC ndio nimekuja kuijoke kidogo lkn wewe kule kwetu baba angu Mourinyo anawapa raha na leo lazima aikick out Hull City na muingie fainali na Soton. Ila yasije kuwatokea ya Ile Soton ya kina Nwanko Kanu
Hahahahaha subiri niishinde Hullicity zawadi yako ni kukuogesha nje
 
Hahahahaha subiri niishinde Hullicity zawadi yako ni kukuogesha nje
Hahahahaha yerewiii......

Duh yani na iwe haraka hiyo ya kuoga nje maana na hili joto ukiogea bafuni au ndani ukitoka tu bafuni jasho natoka...

All the best my dear in your game today...

In Mourinho we trust
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom