King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Nasubiri kwa hamu comment ya King Ngwaba ๐๐๐๐๐๐
Nimekuwa na Amani tu tokea juzi Kichwa mdundiko hatunaye tena
Nasubiri kwa hamu comment ya King Ngwaba ๐๐๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃAs long as yule Kichwa kama Busha ameondoka basi it's fine haya mengine yanazungumzika
๐ค๐ค๐คKweli kuna wakati alikua "jobless"...jamaa ni mwalimu wa uhakika aisee.Enrique huwezi kumchomoa pale, sisi maboss wetu walimkataa Enrique kabla ajaenda PSG cheki Sasa wanajuta
Hongereni kwa kumpata kocha wa BournemouthWakuu Rafael Leao katangaza kutafuta challenge mpya mnasema aje tutue kwake mazima...mridhi wa zile mishe za Diaz
YNWA
Ila limetupatia EPLAfadhali lile para limetoka
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Nimekuwa na Amani tu tokea juzi Kichwa mdundiko hatunaye tena
Ile nguvu ya KloppIla limetupatia EPL
Eti wewe kichwa ๐คฃ๐คฃ๐คฃKwenye mpira nako kuna siasa
Yule Kichwa amefukuzwa ila kwa vile alishabahatisha kombe moja pale Liverpool wakaamua tu kumuondosha kwa heshima.
Just walimwita wakamwambia wewe kichwa sisi hatuwezi kuendelea tena na wewe hivyo kwa heshima tu andika barua ya kujifanya unajiuzulu malipo ya mkataba wako tutakulipa kama kawaida.
Nayeye alivyokuwa hajielewi, angekubali eti,HahahKichwa Mviringo Man United wakimtaka anaweza kuwa mbadala wa Carrick.