Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila Andoni Iraola sio proven coach, anafundisha soka zuri ndio lakini je ni kocha wa makombe/Mataji au ni special tu Kwa hizo Midtable team au tubet km Arsenal na Leverkusen Kwa ARTETA na Alonso na kumpa muda?? Liverpool isijempalia km huyo slot, angalau ht slot alichukua vikombe 2/3 uko farmers league Uholanzi akaonekana....
Lakini Kuna tetesi zingine, zinadai Liverpool wanaombea Luis Enrique wa PSG ya Farmers league Ufaransa achukue UEFA pili mfululizo na PSG hivyo iwe rahisi akihitajika na vilabu vingine vikubwa Ulaya km Liverpool, kwasbbu kwenye Ligue1 PSG ni kama ashakinai Hana mpinzani mwenye nguvu kule...
 
Andoni Iraola alikuwa anasuburia simu mbili tu EPL, ya Man United au Liverpool...Uzuri Iraola yupo very clear kabisa, Identity Yake inajulikana na Aina za wachezaji anaotaka inajulikana, Haya liverKuku ngoja tuone.
Well said mate.....
Anaweza kupigiwa pande na Hughes wanafamiana na ndio alimpigia debe kuajiliwa Borno hivyo wanafahamiana vyema...
Muda utasema.

YNWA
 
Ila Andoni Iraola sio proven coach, anafundisha soka zuri ndio lakini je ni kocha wa makombe/Mataji au ni special tu Kwa hizo Midtable team au tubet km Arsenal na Leverkusen Kwa ARTETA na Alonso na kumpa muda?? Liverpool isijempalia km huyo slot, angalau ht slot alichukua vikombe 2/3 uko farmers league Uholanzi akaonekana....
Lakini Kuna tetesi zingine, zinadai Liverpool wanaombea Luis Enrique wa PSG ya Farmers league Ufaransa achukue UEFA pili mfululizo na PSG hivyo iwe rahisi akihitajika na vilabu vingine vikubwa Ulaya km Liverpool, kwasbbu kwenye Ligue1 PSG ni kama ashakinai Hana mpinzani mwenye nguvu kule...
Bila shaka atakua Enrique ni kocha daraja la kwanza ...kipengele Cha huyu hajui kama kocha mbali meneja japo ambalo kwa sasa Liverpool wanaweza wakalikwepa kwa sababu ya usajili nk nk...

Muda utasema.

YNWA
 
Kwalile soka lake la Bournemouth kama pressure ya ukubwa wa timu ataweza kuihandle basi tutakuwa tumelamba dume na jike kwa wakati mmoja.
Uzuri ni kwamba tunajua tulipo na Nini kifanyike kwenda mbele na pia FSG wanajua fika our identity ni pressing game hivyo kuanzia kocha na wachezaji husika lazima watue wanaofit hio profile...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom