King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,453
Timu yetu vipara hawafit kabisa
Kwa Iraola hatutaki tena stori na makala za uchambuzi za kina Captain Marvelous na MoNA 😂
Tunataka kazi tu tuione uwanjani musije kutuletea makala za kusifu kama mulivyokuwa mukichambua mbinu za Slot halafu mukapotea kusiko julikana na uchambuzi wenu.
Hongereni kwa kumpata kocha wa Bournemouth
Sijui Hawa makocha kwa Nini wanapenda sana kupingana na kinachofanya vyema.... Jamaa aliona afe na tai shingoni kuliko isemkane anakwenda na mfumo wa Klopp ambao ulimpa ubingwa yaani.Timu yetu vipara hawafit kabisa
Andoni ana soka la kasi na press ambayo ndio aina ya soka mnalochezaga but slot alizingua kutaka mcheze soka la control na pasi wakati sio identity yenu na haifit aina ya uchezaji wenu ndio maana alifeliView attachment 3601533
Mambo yanakwenda kasi sana.
Asante sana.
Kwa sasa elite managers or coaches wanatoka Uhispania, tazama Unai, Enrique, Alonso, Pep, Arteta na sooon to be Andoni⚡⚡⚡⚡
YNWA
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa Iraola hatutaki tena stori na makala za uchambuzi za kina Captain Marvelous na MoNA 😂
Tunataka kazi tu tuione uwanjani musije kutuletea makala za kusifu kama mulivyokuwa mukichambua mbinu za Slot halafu mukapotea kusiko julikana na uchambuzi wenu.
💪💪💪Slot msimu wa kwanza hakutaka makuu aliacha wachezaji wajina express uwanjani na bila shaka wakapambana na ubingwa...alivyoanza total Control bila kua na ballers na RB LB wapi hoi basi ndio vipigo vikaanza.Andoni ana soka la kasi na press ambayo ndio aina ya soka mnalochezaga but slot alizingua kutaka mcheze soka la control na pasi wakati sio identity yenu na haifit aina ya uchezaji wenu ndio maana alifeli
View attachment 3601526
😂😂😂😂😂Iraola ni muumini wa pressing na high intensity hivyo ni same page with Klopp modality....
YNWA
BOno yule kipa wa Morocco? Umri umeenda kdgo yule alafu Hana footwork nzuri type za akina joe hart na de gea, ataokoa michomo lakini footwork Kwa soka la kisasa muhimu💪💪💪Slot msimu wa kwanza hakutaka makuu aliacha wachezaji wajina express uwanjani na bila shaka wakapambana na ubingwa...alivyoanza total Control bila kua na ballers na RB LB wapi hoi basi ndio vipigo vikaanza.
Andoni kwa kutazama tu mind set ya wachezaji pale Bono ni dhahiri tunapata jembe ingawa anatoka timu ndogo yenye mahitaji machache sana ukilinganisha na Liverpool ,yupo tayari,tupo tayari kazi inaanza💪💪💪⚡⚡⚡
YNWA
Bournemouth = Bono kwa kifupi.B
BOno yule kipa wa Morocco? Umri umeenda kdgo yule alafu Hana footwork nzuri type za akina joe hart na de gea, ataokoa michomo lakini footwork Kwa soka la kisasa muhimu
Slot kanipiga za uso yaaani honestly nilimwamini sana bila shaka akatula ubingwa baada ya pale tu nikajua sasa sokoni ananua kimkakati yaani nilivyoona Diaz anauzwa taa ikawaka lakini bado nikawa na Imani nae anachokifanya anajua kumbe alikua clueless, ni dhahiri tangu twachukua ubingwa namba 6 ilikua ni tatizo, beki wa kati tatizo lakin jamaa akazama sokoni na kuleta wachezaji wakushambulia Wirtz, Izak,Ekitek yaani hao hakuna mwenye chembe ya kuzuia Hawa ni progressive passes mwishowe ndio haooo tupo hapa na kazi hana.Captain tulia kwanza huu uchambuzi utatuponza 😂
Nakumbuka Slot mulitamba sana na chambuzi za kiufundi kwenye mbinu za Kipara wakati alikuwa ni Muhuni tu 😂
Hapa hamna kocha Saint AnneWell come to hell
View attachment 3601412
Hapa Hamna kocha Saint AnneView attachment 3601526
😂😂😂😂😂Iraola ni muumini wa pressing na high intensity hivyo ni same page with Klopp modality....
YNWA
Sina hamu mimiCaptain tulia kwanza huu uchambuzi utatuponza 😂
Nakumbuka Slot mulitamba sana na chambuzi za kiufundi kwenye mbinu za Kipara wakati alikuwa ni Muhuni tu 😂
Bado hamjapata kocha, tabu ipo pale pale.Ngoja tuone
Ila yule Baba kipara tapeli ameondoka
Tunapumua sasa
msimu umeisha kwa ugumu sana sikutamba mbele ya washikaji zangu taambo ziliniisha.Sina hamu mimi
Mona Manyanza
Utasikia wanasema hatujui mpira
Kocha wao akiguswa tu
Utasikia anajenga mfumo
Haya
Mfumo uko wapi Sasa, 😂 🙌