Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah kipengele hawezi kukaa benchi na atulie ni pale moyo unataka Mwili unagoma......amekua mtumishi mwema wakati wote alipotufikisha inatosha wengine waanzie alipoishia.

YNWA
Liverpool haina mchezajj mwenye uwezo kama Salah
Angebakia msimu ujao ili kocha apate muda wa kutafuta mbadala wake.

Yaani Salah anaondoka Liverpool Kwa sababu ya likocha lijinga,inaniuma sana🥹
 
Liverpool haina mchezajj mwenye uwezo kama Salah
Angebakia msimu ujao ili kocha apate muda wa kutafuta mbadala wake.

Yaani Salah anaondoka Liverpool Kwa sababu ya likocha lijinga,inaniuma sana🥹
Nothing is forever miss Liverpool....
Tunahitaji new reset pale mbele, bila Diaz, Jota, Nunez tumekua hovyo kabisa..

YNWA
 
1780304021228.png


Wanangu wa Livakuku tukaeni mkao wa kula.

Hawa matapeli watajikuta wanashushwa madaraja kibao na vikombe vyao vya kiwizi tuatakuja kugawana sisi wenye haki tuliokuwa tunamaliza nafasi ya 2 nyuma yao. Makombe zaidi ya 6 au 8 tunaenda kujichukulia na sasa tutavuna jasho letu.

NB: Kiuhalisia ni ngumu kwao kuadhibiwa maana hakuna haki ya kweli kwenye pesa ila ni vizuri tu kuwaweka roho juu 😀
 
Ila Andoni Iraola sio proven coach, anafundisha soka zuri ndio lakini je ni kocha wa makombe/Mataji au ni special tu Kwa hizo Midtable team au tubet km Arsenal na Leverkusen Kwa ARTETA na Alonso na kumpa muda?? Liverpool isijempalia km huyo slot, angalau ht slot alichukua vikombe 2/3 uko farmers league Uholanzi akaonekana....
Lakini Kuna tetesi zingine, zinadai Liverpool wanaombea Luis Enrique wa PSG ya Farmers league Ufaransa achukue UEFA pili mfululizo na PSG hivyo iwe rahisi akihitajika na vilabu vingine vikubwa Ulaya km Liverpool, kwasbbu kwenye Ligue1 PSG ni kama ashakinai Hana mpinzani mwenye nguvu kule...

As long as yule Kichwa kama Busha ameondoka basi it's fine haya mengine yanazungumzika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom