Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

msimu umeisha kwa ugumu sana sikutamba mbele ya washikaji zangu taambo ziliniisha.
Mona ,Manyanza na Bobby walikuwa wanamchambua kocha tu walikomaa naye wakati kocha mwenyewe ashajua yeye Janja Janja.

Utamsikia manyanza anasema sisi hatujui mifumo mara ball control sijui total control.
Moja akija na paragraph zake za uchambuzi wa Slot,,anaandika usiku kucha.
 
Sina hamu mimi
Mona Manyanza
Utasikia wanasema hatujui mpira
Kocha wao akiguswa tu
Utasikia anajenga mfumo

Haya
Mfumo uko wapi Sasa, 😂 🙌
🤣🤣🤣Malkia umesikia Mwamba Nunez mbioni kurejea Liverpool haha.

Kwa sasa care less about mfumo tunachotaka ni winning mentality na spirit ya never die irejee klabuni

YNWA
 
1000370588.jpg

Just a reminder 🌞🌞🌞......
Hayupoooooo.

YNWA
 
Hawa ndio wachezaji wanaotajwa zaidi kutua Liverpool dirisha hili
1) Diomande kutoka RB Leipzig 2)Bradley Barcola kutoka PSG 3)Bazoumana kutoka Hoffenhiems 4)Yankuba Minteh kutoka Brighton 5)Conceicao kutoka Juventus
6)Maghnes kutoka Monaco.
7)Scott kutoka Bonoumoth
8)Whaton kutoka Crystal Palace
9)Abbosbek kutoka CSKA Moscow
10)Josh Chigwada kutoka Everton
12)Xavier Parker kutoka Ethad
13)Samuel Martinez DONE DEAL✅
14)Zach Trinder kutoka Wolves.

Namba 10,12,13 na 14 hao ni kwa ajili ya academy.

🤓🤓🤓🤓🤓 tetesi kwamba Nunez anarejea Anfield na pia Salah yupo mbioni kurudi Anfield baada ya Kipara kusepa . Mambo ni mengi muda ni mchache.

Mkeka huo hapo mnasema aje maana mpaka sasa dirisha ngumu sana kwa sababu ya kombe la Duniani kama hapa naangalia Barcola katupia goli ina maana soko lake linazidi kupaa.

YNWA
 
1000376516.jpg


Here we go.
Boy said NO to Manchester United
Boy said NO to Newcastle United
Boy said YES to Liverpool the great of all time, England finest 😁 😁

YNWA
 
Heat map for Munoz
1000376544.jpg

He plays in both right and left flanks, he is more comfortable on the left side as a blasting winger.

Important to note he is 22 yrs old Spain international player. Yupo kikosi Cha kombe la Dunia.
Has passed through academy of both Barcelona and Real Madrid.
Last season he was 3rd fastest player covering 35.46 km/h in La Liga.
Attempted take ons 215 was third with Vinicious at 241 and Yamal at 285.

With this boy we have a player guys. under Iraola he will raise💥💥💥.

YNWA
 
View attachment 3610437

Here we go.
Boy said NO to Manchester United
Boy said NO to Newcastle United
Boy said YES to Liverpool the great of all time, England finest 😁 😁

YNWA
Manchester united, alikua akifatilia vipengele vyake vya usajili. Mmepiga bao Newcastle, maana yeye ndio ilikuwa kwenye mazungumzo, ya hali ya juu kumnunua mchezaji huyu. Ila dogo anajua bhana hapa kweli mmepata mchezaji.
Saint Anne
 
Manchester united, alikua akifatilia vipengele vyake vya usajili. Mmepiga bao Newcastle, maana yeye ndio ilikuwa kwenye mazungumzo, ya hali ya juu kumnunua mchezaji huyu. Ila dogo anajua bhana hapa kweli mmepata mchezaji.
Saint Anne
Newcastle bhana kama ilivyotokea kwa Hugo na huyu Munoz wembe ni ule ule... Newcastle walishamalizana kabla ya vipimo vya afya dogo akasema apewe masaa 24 hivi ndio atasaini then wakaja Liverpool kumaliza maneno. Newcastle hawakuelewa mapema kwamba Liverpool alishaongea na wakala wajuzwe hali kama Ile ikitokea.
Tushasajili winga mmoja hakua na msimu mzuri sanaa upande wa magoli na assist lakin ana kipaji na chini ya Iraola nategemea kuona namba zake zikipanda. Dogo yupo versatile sana anacheza kati, winga zote .... Angalau sasa Diaz anapata mridhi sahihi. Je mnasema aje Gapko asepe zake ama kwa kua pale kuna Chiesa, Munoz na Ngumoho.


YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom