Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chelsea ina wachezaja wa UMISETA Alaf unatuita sisi takataka
Ndugu Jota poker ndio mchezaji wa maana kwa sasa ameshatangulia hatua moja mbele, wazee wengi hapo Liverpool, kwa sasa tuko na msiba subiri tumalize tuanze kuwapasha Habari,

Unaijua Chelsea wewe,
Rest Easy Ndugu Jota & Silva 💔💔
 
IMG-20250704-WA0052.jpg

Authorities are investigating whether the crash was caused by a punctured tyre that blew out.
 
View attachment 3394194
Authorities are investigating whether the crash was caused by a punctured tyre that blew out.
Hata wachunguzaje, mwamba wetu ndio kaisha tutoka hivyo yaani naumia sana 😭😭😭, Jota alikuwa mpole sana na ndio kitu kinacho waumiza wengi mashabiki wa soka, imagine anaacha watoto wadogo vile inaumiza sana R.I.P Jota.
 
Hii itukumbushe kwamba Mungu yupo, na duniani siyo mahali petu,
Duniani tunapita tu.
Wakati tunaburudika na mpira, tuendelee pia kufanya ibada na kuishi maisha yanayompendeza Mungu. Hatujui saa gani tutatwaliwa.
Jota ameenda, sisi tutafuata na hatujui ni lini zamu inafika.
 

Attachments

  • Screenshot_20250704-071529_1.jpg
    Screenshot_20250704-071529_1.jpg
    438.1 KB · Views: 15
Msiba wa Jota umeniumiza sana
Isingewezekana kupona kwa styles hii ya moto aisee
Amekufa kifo kigumu mno, Mungu turehemu.
Unapata maumivu ya majeraha ya gari,unaenda tena kuungua🙌🏿💔na hakuna mtu wa kukuokoa kwa wakati huo
Kifo kama hiki kuna dogo mmoja rafiki yangu alifariki mafinga huko akiwa na gari amebeba miti.
Mbaya zaidi alikuwa mwenyewe tu kwenye gari... Asubuhi walikuwa miti yote na gari vimeungua, ni majivu matupu🙌🏿🙌🏿💔
 

Attachments

  • 1751634939582.jpg
    1751634939582.jpg
    166.9 KB · Views: 15
  • 1751634933051.jpg
    1751634933051.jpg
    188 KB · Views: 12
Inatia simanzi sana kwakweli. Hawa jamaa wameshindwa kuvumilia machozi yamewashuka
 

Attachments

  • João Cancelo and Rúben Neves were brought to tears during the moment of silence in memory of D...mp4
    2.4 MB

Final goodbye 😢👋
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom