Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,272
Wanadamu tunatofautiana sana kwenye mapokeo ya taarifa mbaya, hata Van jana hakuandika chochote.Robertson ni rafiki wa kila mtu asee, Mo Salah naona ndio kaumia sana hata cha kuandika hana
Ni ngumu sana kupata taarifa za kifo cha mtu ambaye mlikuwa mnakutana kila siku ndani ya miaka mitano
Kama sisi tupo hivi je, wachezaji wenzake wakoje?