Hivi mkuu kwenye ajali wameweza ku recover mwili kweli🕊️ LIVERPOOL hawakuwahi kupoteza mchezo wowote ambao DIOGO JOTA alifunga goli kwenye Ligi Kuu Nchini Uingereza.
.
JOTA alifunga kwenye mechi 52 ambapo Liverpool ilipata ushindi mara 43 na kupata sare 9.
.
Pumnzika kwa amani, DIOGO 🕯️🕊️
UwiiiThe remains of Diogo Jota and his brother after the accident, they really suffered before passing out, oh God🥹💔💔
View attachment 3394671
Mimi mwenyewe nilipambanaaaa nikashindwa, yalivyonibubujika niliacha yabubujike tuInatia simanzi sana kwakweli. Hawa jamaa wameshindwa kuvumilia machozi yamewashuka
Na Club imeamua kusomesha watoto wake, i love you Liverpool, I love you FSGView attachment 3395120
Late Jota with his family.
Kwa heshima kubwa kwa Jota Liverpool wameamua kupumzisha jezi Namba 20 pia uongozi umeamua watalipa stahiki zote zilizobaki kwenye miaka miwili aliyokua amebakisha kwenye mkataba wake. 🙏🏾🙏🏿🙏🏾🙏🏿🙏🏾🙏🏿🔥🔥🔥🔥🔥 Heshima kubwa kwa FSG
YNWA
Kaka yake,au mdogo wake?Nikiwa kama shabiki wa Manchester City, niwape pole wanaliverpool kwa kumpoteza bingwa,shujaa,kijana mwenzetu, jasiri, Diogo Jota na kaka yake. Tuko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi 🙁 jamii ya soka, jamii ya vijana tunasikitika sana kuondokewa na mchezaji mahiri kama yeye.
Hata tuonane tena pale juu, Amen.
Mdogo wake, typing mistake.Kaka yake,au mdogo wake?