Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nikiwa kama shabiki wa Manchester City, niwape pole wanaliverpool kwa kumpoteza bingwa,shujaa,kijana mwenzetu, jasiri, Diogo Jota na kaka yake. Tuko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi 🙁 jamii ya soka, jamii ya vijana tunasikitika sana kuondokewa na mchezaji mahiri kama yeye.

Hata tuonane tena pale juu, Amen.
Amen
 
1000076371.jpg

Baada ya kufunga goli Jana vs BVB Mbappe akatupia shangilia ya Jota, hakika kifo cha dogo kimewagusa wengi.

YNWA
 
Hizo zitakuwa za mitandao uchwara ya kibongo,hivi uniambie media ya kuaminika kabisa iandike kaka yake?
Hadi ya ulaya sema wazungu hata mdogo wanamuita brother maana nimeona mitandao mingi sana ya ulaya inasema his brother
 
Kuna muda natafakari na kuishia kusema kwenye maisha everything happens for a reason, at a very young age our lad akaamua kuwa na watoto watatu wa chap chap kwa mpigo as if alikiona kifo chake, the older one alizaliwa 2021, then akafuata wa 2023 and the younger one ni mwaka jana, Mungu ampe nguvu Rute apate kulea damu yake ili ikawe kumbukumbu nzuri kwa maisha ya mpendwa wetu JOTA.

Heaven's got a hero, RIP LAD.🙏🏽
YNWA🚩
 
Aisee embu watuletee isak hapo maana arsenal wanaanza kamdomo baada ya kumpata gyokeres na sisi jota tegemeo letu ndio hivyo tena
 
Hadi ya ulaya sema wazungu hata mdogo wanamuita brother maana nimeona mitandao mingi sana ya ulaya inasema his brother
Kumbe ni tatizo la lugha sasa ndio linawasumbua,wapi umeambiwa brother ni kaka? Kuna young na older ..hapo ndiyo mdogo kwa mkubwa ila brother inabaki kuwa ndugu,pasipo kujali umri
Nyinyi naona mnaleta " uswahili" kwenye lugha za watu
 
Sasa unaniambia Mimi au hao awanaobishana Mimi nimeleta suluhisho kwamba ulaya hata mdogo anaitwa brother we umenistukia kama unanidai au kichwani kwako zimepungua
 
Acha bangi,uliposema hadi ya ulaya ulikusudia nn? Sasa hapo zilizopungua kichwani ni kwako ama kwangu?
 
Kuna muda natafakari na kuishia kusema kwenye maisha everything happens for a reason, at a very young age our lad akaamua kuwa na watoto watatu wa chap chap kwa mpigo as if alikiona kifo chake, the older one alizaliwa 2021, then akafuata wa 2023 and the younger one ni mwaka jana, Mungu ampe nguvu Rute apate kulea damu yake ili ikawe kumbukumbu nzuri kwa maisha ya mpendwa wetu JOTA.

Heaven's got a hero, RIP LAD.🙏🏽
YNWA🚩
Everythng happen for a reasons, nilikuwa nawaza pia liva wangekua CWC pengine asingepata ajali, na pia sielewi ni kwa nn liva hawapo CWC, kwa anaejua anifahamishe?
 
Hadi ya ulaya sema wazungu hata mdogo wanamuita brother maana nimeona mitandao mingi sana ya ulaya inasema his brother
Brother inaweza tumika in two ways either mdogo wa kiume au kaka mkubwa. Mfano mdogo wako wa kiume unamwita young brother kwenye utambulisho au partially katika mazingira mengine unaweza kumcall brother.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom