Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,679
Dah! Ni kweli, cha muhimu watoto wake wapo hai uzuri wazungu sio kama sisi hao watoto watalelewa tu vizuri na watasoma vizuri bila shida yoyote.Ukiongeza na fact kuwa ana watoto watatu wadogo wote wamezaliwa Liverpool, ametoka pia kufunga ndia juzi tu na pia amefariki na kaka yake pamoja ambao ndio watoto wa pekee wa familia yao inaumiza zaidi asee