Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani Plan ya Klopp ni kucheza high intensity kwa team zile kubwa tu msimu huu kwa sababu hazipaki bus. Lakini hizi timu nyingine ambazo zinasubiri counter attack basi Klopp ataziadhibu kwa mpira wa mipango tuu sio ile unacheza kwa kupress sana mwisho wa siku unapigwa counter unàfungwa.
 
Liverpool halisi(kwa sauti ya Malafyale)

Toka zile finals FA na Carabao tulichezaga na Chelsick dakika120
Sina hamu tena na kuangalia live match.

Mimi yangu marudio tu.

Bado mpaka leo haujazisahau? Imepita hiyo tugange ya msimu huu. Kipara ana 100% win tupo nyuma yake kwa 2 points na GD ya 3. Huenda ile race imerudi msimu huu.
 
Bado mpaka leo haujazisahau? Imepita hiyo tugange ya msimu huu. Kipara ana 100% win tupo nyuma yake kwa 2 points na GD ya 3. Huenda ile race imerudi msimu huu.
Najichekia marudio hapa
Sitaki stress
IMG_20230925_114145_539.jpg
 
Kila nikiangalia na kutafakari mbadala wake bado sijaona kwa sababu zifuatazo ambazo kwa maoni yangu itachukua mda kupata mbadala wa Salah:

1)Salah ni mchezaji ambaye ana mifupa migumu sana ni nadra sana kupatwa na majeraha yakumuweka nje mda mrefu, Huyu jamaa anaweza kukaa msimu mzima hajapata majeraha, wachezaji wa aina hii tokea naijua Liverpool ni Dirk Kuyt na Suarez ndio waliokuwa na mifupa migumu kama ya Salah. Majeraha yaliyomzingua Salah mda mrefu ni pale alipotenguliwa bega na yule beki mwehu wa Madrid.

2)Anakupa matokeo mda wowote,

3)Kasi; anakimbia utadhani ndege ya kijeshi hii inampa kocha urahisi wakufanya counterpressing.View attachment 2759217

Nakubaliana na wewe. Lakini kukosa mbadala wake haina maana tukae tu. Hapa sasa inakuja suala la matumizi ya wachezaji waliopo na kutwist mfumo kwa ajili ya ajaye.

Halaand is not Aguero ila Pep katwist mfumo ili kumtumia Halaand na ananufaika.

Ishu kwa Klopp anajiandaaje na Maisha bila ya Salah?? Big task to him.
 
oyee oyee oeyyeeee huree!!! habari zenu chelshit majirani mlipo olachugga. point 3 tumezinyandua jana.
 
Most Expensive Goalkeepers

1.Aaron Ramsdale - Arsenal (£69.5m)

2.Ederson - Man City (£52.1m)

3.Alisson - Liverpool (£52.1m)

4.Andre Onana - Man Utd (£43.4m)

5.Robert Sanchez - Chelsea (£26m)

6.Odysseas Vlachodimos - Nottingham Forest (£26m)

7.Jordan Pickford - Everton (£17.3m)

8.David Raya - Arsenal (£17.3m)

9.Emiliano Martinez - Aston Villa (£17.3m)

10.Arijanet Muric - Burnley (£17.3m)
 
Nakubaliana na wewe. Lakini kukosa mbadala wake haina maana tukae tu. Hapa sasa inakuja suala la matumizi ya wachezaji waliopo na kutwist mfumo kwa ajili ya ajaye.

Halaand is not Aguero ila Pep katwist mfumo ili kumtumia Halaand na ananufaika.

Ishu kwa Klopp anajiandaaje na Maisha bila ya Salah?? Big task to him.
Klopp kakalili 433 tu itakayo mpa matokeo, Mfano Nunez ni mzuri endapo utatumia mfumo tofauti ila yeye kang'ang'ana na 433. Ile pre season alitakiwa kutumia mifumo tofauti ili ajitathimin na aanze kuitumia kulingana na wachezaji alio nao.
 
Most Expensive Goalkeepers

1.Aaron Ramsdale - Arsenal (£69.5m)

2.Ederson - Man City (£52.1m)

3.Alisson - Liverpool (£52.1m)

4.Andre Onana - Man Utd (£43.4m)

5.Robert Sanchez - Chelsea (£26m)

6.Odysseas Vlachodimos - Nottingham Forest (£26m)

7.Jordan Pickford - Everton (£17.3m)

8.David Raya - Arsenal (£17.3m)

9.Emiliano Martinez - Aston Villa (£17.3m)

10.Arijanet Muric - Burnley (£17.3m)
Hivi Kepa alikuja Chelsea kwa Mkopo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom