King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Maji na Mchanga vinaanza kujitenga
Hiyo game ni ngumu... Yaani inahitaji jihad..Thank God hii imeisha
Sasa next week kwa Spurs
Insh’Allah atujalie afya njema tufike next week.
Kama tukishindwa kulinda tuhakikishe hizi forward zetu zinanolewa ku-score zaidi ya goal 5 per match...Msimu huu tuna Timu nzuri sana japo tatizo la ulinzi halitatuliki lakini tupo vizuri
Taja timu ambayo Haina mapungufu dunianiMsimu huu tuna Timu nzuri sana japo tatizo la ulinzi halitatuliki lakini tupo vizuri
Hiyo game ni ngumu... Yaani inahitaji jihad..
Spurs wapo vizuri
Taja timu ambayo Haina mapungufu duniani
Allah ni wa wote...Hata sisi tupo vizuri
Sisi tunamtegemea Allah

NimefutaAsipo funga utafuta hii ramli yako chonganishi?
Vijana wanapambana,Allah anamsaidia anaye jisaidia
Jipe moyoNyie vizebwele msifikiri mna timu ya kufukuzana na city, huu moto wa mabua tu na unaanza kumwagiwa maji rasmi na spurs.
City hii na majeruhi yote bado ni unbeaten, hata wa kupata draw tu hajapatikana , akirudi kdb stones si tunabeba quadruple 🤠🤠.Jipe moyo
Tutawakaanga
Zimwi la red limehamia kwenu na chelseaCity hii na majeruhi yote bado ni unbeaten, hata wa kupata draw tu hajapatikana , akirudi kdb stones si tunabeba quadruple.
Endeleeni kudanganyana tunawachora tu na beki yenu ya biskuti.
I wish I could answer youNyie vizebwele msifikiri mna timu ya kufukuzana na city, huu moto wa mabua tu na unaanza kumwagiwa maji rasmi na spurs.
