Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Mimi nitaangalia tu marudioLiverpool ya sasa hata uwe na moyo mwepesi inatazamika tofauti na ile ya msimu jana.
Sitaki stress za rejareja😂
Mimi nitaangalia tu marudioLiverpool ya sasa hata uwe na moyo mwepesi inatazamika tofauti na ile ya msimu jana.
😂😂😂😂😂🤣Tunakukabidhi huyu kama ulivyofanya kwa Milner, Keita na Hendo deal naye.
Anatuchosha na tumempuuza… season iliyopita alipotea nafikri wajua sababu
DM tunae Bajcetic yule dogo ana quality pass pia kwenye Defence yupo vizuri sana pale kati akikaa Dominic szoboszlai, Stephan Bajcetic na Alexis Mac Allister itakua poa sana labda tu kwenye training dogo ajawa fit ndio maana Klopp hajaamua kumtumia.Not only kikosi kipana but depth and balanced quality.
See mwimu huu una ama Diaz na Nunez bench au una Jota na Gakpo bench tayari kwenye attacking una two quality players ambao they can over turn a match. Na imetokea mara tatu we are behind and come to win a match.
Ila msimu huu namuelewa sana Klopp when it comes kwenye suala la Subs. He is doing very well so far. Nafikir ni ukubwa wa attacking area inampa kiburi licha ya hivyo to change formation and position during a match, hii imempa ahueni unlike miaka ya huko nyuma.
Kama angefanikiwa kumpata DM, CB and RB ndani ya dirisha lililopita tungekuwa na strong team. Lets see until January







Karudi kwa kasi![]()
Mimi nitaangalia tu marudio
Sitaki stress za rejareja![]()
Liverpool sifa ya wapenzi wake ni moyo mkuu.Liverpool halisi(kwa sauti ya Malafyale)Liverpool sifa ya wapenzi wake ni moyo mkuu.
Tukutane KIBO ZONE next Match against West hamLiverpool halisi(kwa sauti ya Malafyale)
Toka zile finals FA na Carabao tulichezaga na Chelsick dakika120
Sina hamu tena na kuangalia live match.
Mimi yangu marudio tu.
Bado pana happen kama miaka mitatu nyuma? Maana Harmonize ndio alipiga show siku ya uzinduzi wake?Tukutane KIBO ZONE next Match against West ham
Palifungwa kitambo Mkuu,Tukutane KIBO ZONE next Match against West ham
Kwahiyo unatakajeMechi 6, tumetanguliwa 4, hii ni alarm, sio kila siku utaanza kufungwa kisha urudishe ushinde
Klopp na vijana wake watafakari hili
Cleansheet moja tuu, hapana kwakweli
Asaiv kunako happen ni TTG na NGAOBado pana happen kama miaka mitatu nyuma? Maana Harmonize ndio alipiga show siku ya uzinduzi wake?
Daaah umenikumbusha picnic daahHii mechi nilikuwa naicheki pale PICNIC ARUSHA, daah, nilikuwa mdogo kama piriton, ilinihuzunisha mno mno mno