Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Crops cultivation tunakuamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani nimechekaTunahitaji Mtu mwenye akili kama alivyokuwa Prime Busquet sio kazi chafu na ukatili
Unasema asepe Saudia ama 🤔😀😀😀😀Van dijk ni ganda la ndizi, hakuna tena beki pale, kila mechi lazima tupigwe chuma
Asepe tuu, kwanza tulicheza vizuri mechi alizokua suspended, kila mechi lazima Allison atuweke mchezoni,Unasema asepe Saudia ama [emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
YNWA
Kwa namna Van dijk na wenzie wanavyocheza, nyuma yao ingekua ni Karius au Mignolet, tungekua tunawatukana kila siku, luckly nyuma yao yupo Allison