The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Najichekia marudio hapa
Sitaki stressView attachment 2761618
Raha ya Marudio upate ile mechi ya Newcastle ya 1-2 ile mechi nzuri sana kurudia kuitazama.
Haya keep enjoying na marudio.
YNWA
Najichekia marudio hapa
Sitaki stressView attachment 2761618
Fundi huyuSafi sana Mgiriki tutakuwa nawe kwa muda mrefu tu upige kaziView attachment 2762140
KabisaRaha ya Marudio upate ile mechi ya Newcastle ya 1-2 ile mechi nzuri sana kurudia kuitazama.
Haya keep enjoying na marudio.
YNWA
Kabisa tunapata raha sanaNaona Anfield mambo matamu sana kwasasa mpaka unajikuta unasahau matatizo madogo madogo ya hapa na pale![]()
Klopp kakalili 433 tu itakayo mpa matokeo, Mfano Nunez ni mzuri endapo utatumia mfumo tofauti ila yeye kang'ang'ana na 433. Ile pre season alitakiwa kutumia mifumo tofauti ili ajitathimin na aanze kuitumia kulingana na wachezaji alio nao.
Ila haifikii ile come back ya UEFA dhidi ya Barcelona pale Anfield, sichoki kuitazama.Raha ya Marudio upate ile mechi ya Newcastle ya 1-2 ile mechi nzuri sana kurudia kuitazama.
Haya keep enjoying na marudio.
YNWA
The bestIla haifikii ile come ya UEFA dhidi ya Barcelona pale Anfield, sichoki kuitazama.
Ujue hii mifumo ni kwa ajili ya aina ya wachezaji ulionao.
Mf. Bobby kwenye last three alipaswa kuwa kama pure CF ila Klopp alimtumia tofauti sana na kwa mafanikio. Unavyoona 4-3-3 sio lazima ikae hivyo wakati mechi inaendelea kuna vi pattern vinabadilishwa humo ndani wakati wa kuzuia unakuta kivyake na kushambulia tofauti.
Mf. Mechi ya Newcastle magoli ya Nunez yalitokea upande wa Salah ambaye yeye alisogea nyumba kidogo.
Pep line up inasoma 4-3-3 ila wanavyocheza not exactly 4-3-3. See Klopp line up 4-3-3 ila utakuta 3-2-2-3, 3-2-3-2 unatumika. Sasa humo ndani ndio kuna patterns za muhimu sana ambazo zinaweza kumng’arisha mchezaji au kumpoteza. Sasa ili uone ubora wa mtu kama Nunez pale kati kwenye MF. Uwe na DM mzuri ama lone DM au pivot ili Nunuze akae mbele akisubiri mipira ije long balls, crosses through passes, hivo.
Pale LFC hatuna DM katili huyo ambaye atapiga dirty jobs. Huyo Macca tunamkosea he is trying kwa uwezo wake but he is that typical no. 8. Its up to Klopp na vijana wake. But so far Klopp amejaribu sana na ugeni wa MF’s wake lkn timu inapata matokeo ambayo ni ya muhimu na namba moja kuliko stats zingine zote.
Bado tunajitafuta kupata rhythm ile Klopp’s Football binafsi sijaiona bado. Performance ya last 8 matches of the last leason.
Mtu ambaye angetupa balance nzuri kwenye kiungo ni Thiago. Combo ya Thiago + Macca + Szoboszlai ni moto sana ila ndio hivyo Thiago na majeruhi ni coins na konda.


..... YNWA🫶
Tunahitaji Mtu mwenye akili kama alivyokuwa Prime Busquet sio kazi chafu na ukatiliKwenye DM mtu wa kazi chafu & mkatili NAKAZIA
Macca huruma nyingi na uoga
Tungepata muhuni kama Wilfred Ndidi au sandro Tonali ingekuwa poa sana pale DM, sema ndo hivyo tena..... YNWA🫶
-Kuna professional footballer asiyekuwa na akili?Tunahitaji Mtu mwenye akili kama alivyokuwa Prime Busquet sio kazi chafu na ukatili
All in all we're going to win this game...Next game ni totts
Our defense na mido has to be super alert of the power ya attacking force ya totts
McAllister Bado ananipa wasiwasi - we need his motm performance Siku hiyo
Toughest test so far
Next game ni totts
Our defense na mido has to be super alert of the power ya attacking force ya totts
McAllister Bado ananipa wasiwasi - we need his motm performance Siku hiyo
Toughest test so far
Ila haifikii ile come back ya UEFA dhidi ya Barcelona pale Anfield, sichoki kuitazama.
Kwenye DM mtu wa kazi chafu & mkatili NAKAZIA
Macca huruma nyingi na uoga
Tungepata muhuni kama Wilfred Ndidi au sandro Tonali ingekuwa poa sana pale DM, sema ndo hivyo tena..... YNWA🫶
All in all we're going to win this game...