Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunashinda hii game
😂 😂 😂 Mpaka sasa Hammers hawana goli 3 kweli na bahati kwenye mpira ipo...

Kwa kua Klopp amewalisha vijana kwamba wapambane mpaka kifute cha Mwisho hakuna namna ushindi usakwe kwa njia zote pointi 3 muhimu sana kuchukua nyumbani...

By the way ni kama vile Kops uwanjani hawalewielewi haya mambo... Haya over to you Klopp huko chumbani waambie we are in for a win tu hakuna kingine leo. Sare hapana.

YNWA
 
ila Chelsea utadhani wanacheza Ligi ya Bongo yani Miguuni mwao unaona Vipaji na kujituma lakini outcome ni sifuri
Case study Nottingham Forest last msimu wa 2022 2023 walisajili zaidi ya wachezaji 18 lakini badala ya kugeuka neema kwao ikawa kama nuksi walibakia mkiani mpaka dakika za mwisho wakajinasua...
Wholesale purchases ina changamoto zake kuleta cohesion uwanjani na matokeo yaje ya ushindi jambo ambalo kwa sasa halipo...

YNWA
 
Sio siri Duniani kuna Watu wana vipaji sana yani! Hapa tuna screens 3 za Game ya Liver, Arsenal na Chelsea kuna watu wanaangalia games zote 3 kwa wakati mmoja na matukio yote kwenye games zote 3 wanayaona kwa ukamilifu.

Aisee mimi nimeshindwa kabisa nimeamua kubaki na game yetu tu.
😂😂😂
 
Thank God hii imeisha
Sasa next week kwa Spurs
Insh’Allah atujalie afya njema tufike next week.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom