Huyu Henderson hapana aisee yaaani kutoka kua Captain wa Liverpool mpaka kwenda kula zile riyal ujue ni bahati kubwa sanaaa....Amejifunza so far. Kwa Henderson amepata darasa kubwa sana
Now how do we balance pressing and defending... That the elephant task...
In those days kabla ya VVD na Allison kutua we could leas by 2 or 3 lakini gemu itaisha sare ama kipigo kwa sababu balancing when the spaces uwanjani was a bit problematic and i see same situation hapa.. Take goli la leo la Wolverhampton tazama how the assist was made 3 or 4 Liverpool players didn't have a clue how to react and that dangerous for us...
Timely reaction is the key...
YNWA
Huyu Henderson hapana aisee yaaani kutoka kua Captain wa Liverpool mpaka kwenda kula zile riyal ujue ni bahati kubwa sanaaa....
YNWA
Poor Fabinho hua najiuliza huu ulikua usajili wa Klopp au Edwards maana it's like Klopp was forced to accept th boy... Remember alivyosajiliwa he had to wait ages kuanza kupata namba kuanza then last season he had a bad season n off he was sold...Sana. Ila angalia maajabu hapa ya vipaji.
Fabinho £40m LIVERPOOL captain £12m. Kelele zote za top reds ila that man is ana avarage player. Lucky man to wear Liverpool armband.
Nipongezwe kwanza kwa kazi niliyoifanya.
Mimi hapaSaint Anne Uko wapi babe love
😂😂😂😂😂Matip auzwe tu, hana jipya tena...Miguu mirefu ajikanyagakanyaga...
Beki ni tatizo
Poor Fabinho hua najiuliza huu ulikua usajili wa Klopp au Edwards maana it's like Klopp was forced to accept th boy... Remember alivyosajiliwa he had to wait ages kuanza kupata namba kuanza then last season he had a bad season n off he was sold...
YNWA
Nipongezwe kwanza kwa kazi niliyoifanya.
Matip dirisha dogo anaondoka
Mechi yenyewe wala sikuicheck.Nilitaka nishangae siku itaisha bila kuja huku na ushindi mzuri wote wa leo.
True huu msimu game management ni muhimu sana kwa hawa senior players changamoto kama unavyoona tunashinda kibishi hata kuwapa sub muda sahihi ni ishu sana kwa Klopp....Mashaka zaidi kwa CB what if Vvd , Konate wakapata injuries za muda mrefu then totally we are doomed
😂 😂 😂 😂 That boy is a time bomb waiting kulipuka muda wowote akiwa kwenye presha.badala yake akampiga kitambaa, na kumuomngea majukumu piga RB without ball and with a ball piga MF hapo fasta,. Sawa bwana mdogo akakubali
Presha za ubingwa ni noma sana aisee tetesi ni kwamba hata Arteta baada ya kukosa ubingwa last season he almost quit Arsenal maana aliunusa baadae majeruhi yakawa cost kuukosa ubingwa...He was boring INDEED as a experienced and professional coach as him hakustahili kuyazungumzia hayo kama sababu ya kupoteza mechi
Jamaa anaona timu yake pekeyakeUwe unatumia neno mimi na sio sisi sababu hatujawahi kuona liverpool halisi mwingine tofauti na wewe humu.
AnakeraJamaa anaona timu yake pekeyake
Timu yetu sote hii.
Asitupangie namna ya kuishangilia na kuikosoa.
Pia UEFA fainali na Madrid Goli pekee la ushindi na ubingwa wa R.Madrid lilitokea kwa TAA pale Klopp angetakiwa kushtuka Dogo akiwa RB mda mwingine anakuwa kama chambo. Wahuni wakiwa wanatafutaga magoli ya Comeback Huwa hawachagui upande mwingine, wanasarandia upande uleule wa TAA.Hapo tu ndio hua natoa macho ndugu yangu maana Klopp anapingana na data proven stat kwamba dogo output yake kama RB anatuangusha sanaaaa....
YNWA