Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona Chelsea wanafanya uchambuzi
Screenshot_20230917-205410.jpg
 
Pia UEFA fainali na Madrid Goli pekee la ushindi na ubingwa wa R.Madrid lilitokea kwa TAA pale Klopp angetakiwa kushtuka Dogo akiwa RB mda mwingine anakuwa kama chambo. Wahuni wakiwa wanatafutaga magoli ya Comeback Huwa hawachagui upande mwingine, wanasarandia upande uleule wa TAA.
Hii mechi nilikuwa naicheki pale PICNIC ARUSHA, daah, nilikuwa mdogo kama piriton, ilinihuzunisha mno mno mno
 
Uwe unatumia neno mimi na sio sisi sababu hatujawahi kuona liverpool halisi mwingine tofauti na wewe humu.

Wapuuzi wanao tukana team hawawezi kuwa Liverpool HALISI,ni Liverpool waganga njaa tu wasio jua hata history ya hii team.
Sisi Liverpool HALISI tumeisha wapuuza,hamna hoja
 
Sawa ndio jopo lako la liverpoop Halisi linawatu gani wengine? Hupaswi kusema Sisi we sema mimi acha kukaza ubongo.

Wana Liverpool HALISI hapa tupo na pia MPO nyie wana Liverpool wapiuzi kazi yenu kutukana team lkn mnalegeza matumbo team ikishinda

Wana liverpool halisi wana waambia nyie wana Liverpool feki kama msiwe kama kinyonga,hata team ikishinda nyie endeleeni tu kutukana
 
Hiyo Liverpool Halisi unajiita wewe mwenyewe, usijifanye mpo wengi.
 
View attachment 2753018
Liverpool HALISI hawezi tukana team hii,nyie ni Liverpool feki
Waweza kuwa uko sahihi, Ila binafsi huwa unaniacha hoi unaposema Liverpool fans mzidi KUSHIKAMANA ili timu yenu ishinde, huwa najiuliza Liverpool fan wa jamiiforums anashikamanaje kusaidia matokeo ya timu. Ni kama mchezo wa kitoto fulani hivi...
 
Wapuuzi wanao tukana team hawawezi kuwa Liverpool HALISI,ni Liverpool waganga njaa tu wasio jua hata history ya hii team.
Sisi Liverpool HALISI tumeisha wapuuza,hamna hoja
Haijalishi ulianza shabikia mwaka gani, aliye anza shabikia 1880 na aliye anza shabikia 2020 wote ni mashabiki mkuu acha kujifanya kuwa Liverpool niyawalio anza kushabikia miaka ya zamani tu. Acha izo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom