The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Gomez ameanza kurudi kwenye form yake ya 2018/2019.
Katikati bado hatujapata mtu wa kazi chafu kweli, SOBO na MACA hawawez kuhold ,, tupo exposed sana safu yetu ya ulinzi
Ni fikiri Klopp has to find a good system defensively. Hamuamini Endo na hakukua na haja ya kumsajili Endo na haumchezeshi wakati timu yako inahitaji DM ukamnunua DM kwa ajili hiyo.
