Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa mechi vs Newcastle alikuwa na three duties
1. As captain for almost 70 mins
2. As RB defensive
3. As offensive too.

Ila aliwaka kweli kweli baada ya kadi. Gordon ndio alimvuruga hasa TAA. Its not about TAA its about Klopp. Kama ameshindwa kabisa kujifunza kuzuia basi mpe natural role yake (Mf) na akiwa hapo anaku offer positiveness why as coach cant you use his strength to benefit you?
Shinda Klopp hapendi kabisa kupangiwa you remember sometimes last year Gareth Southgate alisema huyu dogo is probably a better player in MF kuliko RB.. Klopp wala hakutaka kusikia kingine zaidi ya dogo ni RB mpaka pale alipokuja kuona hali si hali dogo sasa acheze hybrid RBMF..

YNWA
 
Gomez ameanza kurudi kwenye form yake ya 2018/2019.

Katikati bado hatujapata mtu wa kazi chafu kweli, SOBO na MACA hawawez kuhold ,, tupo exposed sana safu yetu ya ulinzi
Makes me wonder if Gravenberch will bring the solid wall pale kati ili kupunguza kuwa expose the back line..

By any standards Klopp hajapata the right formula to sort the MF defense wise the sooner he get its right the better we are

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom