BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Against City au Brighton tutajua vzr madhaifu yetu.Sure hatuna holding mid, itakuja kutucost mbele
January window we must do something for the survival,, Tupate uhakika wa EUROPA.
Against City au Brighton tutajua vzr madhaifu yetu.Sure hatuna holding mid, itakuja kutucost mbele
nor matter what 3 point ziko palee.Haiondoi fact kwamba aliwapika!
Hongereni kwa ushindi, but still you"ve so much to improve.
Klopp hapangiwi aisee alafu sina imani kabisa na huyu Ryan Gravenberch sijui klopp kaona nn kwakeSure hatuna holding mid, itakuja kutucost mbele


I remember gemu fulani hivi vs PSG alitokea bench na kuingia kipindi cha pili huku akitupia goli la ushindi and that was Bobby umwanzishe au aanzie benchi he will give his all.. He made others perform better maana hakuna mbinafsi wala nini yeye ni pure performance for th team..He won everything at LFC.
Jamaa kwenye 3 front yetu peke yake ndio alikuwa hakunji akipigwa benchi.
Uwe unatumia neno mimi na sio sisi sababu hatujawahi kuona liverpool halisi mwingine tofauti na wewe humu.Walio kuwa wanatukana team endeleeni kutukana
Sisi Liverpool halisi tupo pamoja na team.
Liverpool oyeeeeeee
Ile game si ndio aliwapiga PSG akashangilia kwa kuziba jicho moja.I remember gemu fulani hivi vs PSG alitokea bench na kuingia kipindi cha pili huku akitupia goli la ushindi and that was Bobby umwanzishe au aanzie benchi he will give his all.. He made others perform better maana hakuna mbinafsi wala nini yeye ni pure performance for th team..
My best performance ile fainali ya Super Cup Vs Chelsea.... That was Bobby at his best for me ule ushindi ulitupa nafasi kushinda Club World Cup nako Bobby was on 🔥 🔥 🔥
YNWA
Am in shock how slim margin are bcak turned to wins on a different day by half time we are 2 down....Against City au Brighton tutajua vzr madhaifu yetu.
January window we must do something for the survival,, Tupate uhakika wa EUROPA.
Exactly the one haha... Huyu Samba boy was special boy... Hakua na speed tu lakini haikumfanya akose kushine..Ile game si ndio aliwapiga PSG akashangilia kwa kuziba jicho moja.
Boby anastahili kuendelea kuimbwa kwenye viunga vya Anfield mpaka kesho.
Surprising thing huu msimu , hatuchezi kwa pressure, ni kama wachezaji wanamentality kuwa hata kama tuko nyuma kwa goli still the game is ours.Am in shock how slim margin are bcak turned to wins on a different day by half time we are 2 down....
Woow lady luck smiling big on this early games...
We are damn lucky...
YNWA
Yaaani hii ni Scouser mentality never say die never give up until the last kipenga, ishu sasa wasizoee hii trend maana kuna wakati inaweza kula kwetu...Surprising thing huu msimu , hatuchezi kwa pressure, ni kama wachezaji wanamentality kuwa hata kama tuko nyuma kwa goli still the game is ours.
Yes you should have lucky to become a champ.Yaaani hii ni Scouser mentality never say die never give up until the last kipenga, ishu sasa wasizoee hii trend maana kuna wakati inaweza kula kwetu...
So far we are damn lucky...
YNWA
Tuko pamoja kiongozi hii kauli inazonikiwazaga sanaSalah mchoyo!!yet he's leading with the assists


japo liverpool timu yangu imeshinda ila bado nina mashaka nayo sanaa..hii timu bado jamani