Nawaza tu angekuwa City.
Rekodi yake ingekuwa hakuna wa kuikamata.
Bobby juzi aliandika kama utani
Huyu TAA defense hua ni tatizo kubwa sanaa kwetu the boy is never learning ... Kwenda mbele hana changamoto sana ila kuzuia ndio pana balaa especially akiwa under presha kubwa...
YNWA
PREDICTIONS of TODAYs Premiere League Away MATCH of*
Wolves vs Liverpool
1) Zumbe Wolves 0-5 LFC
2)
hata mimi pale nyuma na kati kati sipaelewiKikosi cha Leo sijakielewa kabisa...hata hivo nna imani na wachezaji wetu wote....
Ushindi muhimu
Here We areView attachment 2751021
Kikosi cha Leo sijakielewa kabisa...hata hivo nna imani na wachezaji wetu wote....
Ushindi muhimu
smh....ila ngoja tuone.
Kibondehata mimi pale nyuma na kati kati sipaelewi
kwa kuwa tunacheza na kibonde tutashinda



Joe Gomez ni kirusi....ama labda mi sjui mpirahata mimi pale nyuma na kati kati sipaelewi
kwa kuwa tunacheza na kibonde tutashinda
Matip auzwe tu, hana jipya tena...Miguu mirefu ajikanyagakanyaga...Leo kumamake amatip anatukaba, yupo very slow ata kutoa pass. Sobo nae leo kila forward pass boko. Diaz, Nunez hii mechi wangeanza.