The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
My player. LFC wakinipa ajiri ya scout nitawanufaisha tatizo sitaweza na mjerumani yule


Did you see how he celebrated like there is no tommorow haha....Ile mechi ya City vs leicister Nilianza kuona upepo wa title unakuja kwetu maana mpk dk ya 70 ngoma iko 0-0 . Company akaja kuharibu siku vibaya sana.
Huyu dogo sometimes yes sometimes no.
Klopp akinusuru kipaji cha huyu Dogo.
Winger imeshamshinda naona, akicheza AM anafaa zaid.
View attachment 2751233
😂 😂 😂 😂 😂 Yule Mjeremani ni tatizo kubwa sanaa aisee.....My player. LFC wakinipa ajiri ya scout nitawanufaisha tatizo sitaweza na mjerumani yule![]()
Wining is addictive man so is losing.. Kipara mentality yake ni moja tu reclaim the ball once lost and make the field as small as possible.. That was Liverpool 2018 /2019... We used to harass the opponent mpaka anaachia mpira na sisi kuanzisha mashambulizi chap sana by the time wapinzani wajipange goli hiloooo sasa Kipara kwa kua ana loads of talent at his disposal hio mentality imekua stamped all over the squad na mchezaji akilegea tu basi bench inamhusu like Phillips na Walker kipindi fulani last season...
YNWA
Hapo tu ndio hua natoa macho ndugu yangu maana Klopp anapingana na data proven stat kwamba dogo output yake kama RB anatuangusha sanaaaa....
YNWA
badala yake akampiga kitambaa, na kumuomngea majukumu piga RB without ball and with a ball piga MF hapo fasta,. Sawa bwana mdogo akakubaliKlopp huwa hanaga imani ya moja kwa moja kwa new signing , refer kwa FAB3, Keita8.
Hivi ndio msimu huu tulikwenda Manchester United Ole Trafford wakiwa na majeruhi wa kutosha aafu Klopp akapanga kikosi cha sare?
YNWA
halafu cha ajabu wakati wa mechi bado key players wao waliumia na wakaingia madogo na tukashindwa kushinda. Now how do we balance pressing and defending... That the elephant task...Mpka hapa gw5 tumekuwa 2nd team. Pressing inakuwa kubwa hasa
KLOPP angeacha EGO hapo katikati misimu ya nyuma muda huu tungekuwa tunazungumzia 21 EPL with NYUMBU behind us.
Definitely mapema sanaa aisee kuna mechi za kutosha hawa senior players watahitaji kulindwa sana kutopata majeruhi ya muda mrefu na njia pekee ni ku incorporate hawa junior players kikosini mapema ili kujenga ari ya ushindi...
YNWA
Ikifika January kwenda May every 3 point count hivyo kuzikosa kama vile was always gonna be a problem for us....halafu cha ajabu wakati wa mechi bado key players wao waliumia na wakaingia madogo na tukashindwa kushinda.
Ila huko mbeleni tulikuja kushinda nyingi nyingi ila hazikutusaidia moja kwa moja.
![]()
![]()
![]()
![]()
Ule msimu Klopp alikua na visingizio kama vyote mara upepo, mara barafu, mara muda wa mechi, mara kadi nk nk...bottom line hakuna risk taker kwa baadhi ya mechi kwenda full throttle...
I suppose Kompany aliwapiga Leicester goli moja matata sana full nondo top corner na ilitosha kuwapa ubingwa nsimu ule
YNWA
Mashaka zaidi kwa CB what if Vvd , Konate wakapata injuries za muda mrefu then totally we are doomed
Sina mashaka na unahodha wake mbali at his experience now at Top Flight he is supposed to play better kuliko anavyocheza sasa...
Dogo anatufanya kua predictable kabisa kiasi hata sisi mashabiki hatumuamini kabisa... Klopp ajitoe mhanga January asajili RB dogo asongee mbele ama kama sio hivyo acheze basi Wingback endapo Klopp atabadili mfumo
YNWA
![]()
![]()
![]()
![]()
Yule Mjeremani ni tatizo kubwa sanaa aisee.....
YNWA
Klopp is poor in recruitment.. Kuanzia 2018 mpaka 2021 alisajili MF wawili tu Keita na Thiago na wote ni full unpredictable fitness aafu tulalamike Kipara akishinda mara kwa mara EPL yote hayo anayaka Klopp mwenyeweKabisa. CL 1 plus 2 epls.
Milner & Henderson angewaachia mapema tu keita plus Ox hawa wametuchelewesha kwa hisani ya Klopp
Endo ni CB sina hakika kama RB attacking ya Klopp itamfaa sanaa...Amjaribu Endo as RB na TAA asogee RCM..!!!