Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

How abou Drogba
How about Etoo
How about Adebayor
.....
We got king Moh.

Screenshot_20230916_170505_X.jpg
 
Wakuna mnasema aje sasa....

So we are Title Contenders 2023 2024 ama namna gani😂😂😂😂😂😂 Kipara must be scrubbing his bald head maana Klopp with his un balanced squad will make him sweat all the way mpaka May 2023...

YNWA
7Hug like
Pep(kipara) typing.....
Unai typing...
Poche typing...
 
Hatuvumi sanaaa lakini tumoooo kwenye mix...

Kushinda ugenini mapema hivi baada ya wachezaji kusafiri mechi za kimataifa sio jambo rahisi sana.

YNWA
Kabisa kiongozi
TUkusanye point zetu kimya kimya mpk december. Mpinzani wetu ni KIPARA pekee na Sio Gunners wala Nyumbuzi.

Kipara sijui anawalisha nini wale vijana wake,, ubora wao upo vile vile siku mpaka siku.
 
Screenshot_20230916_165800.jpg

1 down, 1st half to forget and winning by 3 goals at the end is not a bad take guys...

Regardless of the circumstances za pale kati na ukuta tumetoka na pointi 3 muhimu..

Let's clap for the boys... 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏

YNWA
 
Kabisa kiongozi
TUkusanye point zetu kimya kimya mpk december. Mpinzani wetu ni KIPARA pekee na Sio Gunners wala Nyumbuzi.

Kipara sijui anawalisha nini wale vijana wake,, ubora wao upo vile vile siku mpaka siku.
Wining is addictive man so is losing.. Kipara mentality yake ni moja tu reclaim the ball once lost and make the field as small as possible.. That was Liverpool 2018 /2019... We used to harass the opponent mpaka anaachia mpira na sisi kuanzisha mashambulizi chap sana by the time wapinzani wajipange goli hiloooo sasa Kipara kwa kua ana loads of talent at his disposal hio mentality imekua stamped all over the squad na mchezaji akilegea tu basi bench inamhusu like Phillips na Walker kipindi fulani last season...

Ile ilikuwa updated Gengen pressing.
Tulikuwa na speed sana kwenye mpira kuanzia kwenye kushambulia mpaka kukaba.

Umemtaja Phillips , umenikumbusha Pep alituchomolea hili dili kwa Phillips na alijua dhahiri kuwa madhaifu yetu ni DM so ni kama alikataa kumuuzia opponent wake mkubwa silaha.
PEP still beliaves his main opponent is Liverpool and Klopp.
 
Ile pressing ilikua na changamoto moja tu kwetu kwamba Klopp hana like for like replacement kwenye benchi lake na hii ilikua inampa sana wakati mgumu nakumbuka kuna mechi Henderson vs aidha Westham Leicester alicheza RB and he was chaotic no utulivu kiasi Klopp alitokea kusema mara upepo mara barafu yaaani bla bla lakini ukweli ni kwamba hakua na kikosi kipana cha kuweza ku kuchukua ubingwa... Na tazama hata Arsenal walivyopata majeruhi defense ndio pale pale Kipara last season alisepa na kombe lake...

Muhimu Klopp kabla mambo hayajawa mengi apate mfumo utakakua imara pale kati kulinda defence yetu hii ndio itakua nguzo kuu ku challenge trophies...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom