King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Wacha tuendelee kula Mtori nyama zipi chini
Gomez ameanza kurudi kwenye form yake ya 2018/2019.Naona kwa mbaaaaaali Klopp anamuelewa Jones kuliko majority of we fans.
Lets see his impact today
Sobo anakava mapungugu ya Jones tatizo linaanzia hapoGomez ameanza kurudi kwenye form yake ya 2018/2019.
Katikati bado hatujapata mtu wa kazi chafu kweli, SOBO na MACA hawawez kuhold ,, tupo exposed sana safu yetu ya ulinzi
jota usimpe lawama mashambulizi yote tuliyofanya yanatokea upande wakeHii team Leo imekufa sababu ya jota na Jones tu
Mtawaulaume Bure mabeki
Hivi kumbe Jones yupo ?😁Hii team Leo imekufa sababu ya jota na Jones tu
Mtawaulaume Bure mabeki
Jones kitambo sana hii nafasi imemshinda..jota usimpe lawama mashambulizi yote tuliyofanya yanatokea upande wake
the only problem ni klop kumuanzisha Jones as no 6!!!huko ni kumpima Imani tu kijana wa watu
tOa hao weka nunez na diazHii team Leo imekufa sababu ya jota na Jones tu
Mtawaulaume Bure mabeki
Kuna muda walionyeshwa kama vile wanamjadili KlopptOa hao weka nunez na diaz
Klopp buana! Sasa alikuekaje nje Diaz?
Wanaodai Salah Auzwe , jiangalieni sana.
Haina ubishiMan of the Match