Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,680
Kweli aiseeDah mkuu uliweka watu roho juu juu.
Ubinadamu hatar sana. Hata hatujuani,, ila ukimya wako tu ulitutisha,, next time say goodbye please.
Kweli aiseeDah mkuu uliweka watu roho juu juu.
Ubinadamu hatar sana. Hata hatujuani,, ila ukimya wako tu ulitutisha,, next time say goodbye please.
Sir Nunez aka Captain Chaos haha kashatuma ujumbe kwa Klopp huyu kwamba anahitaji meza kuu apewe nafasi ya kudumu.
Am back...Welcome back bro
Acha uchokozi ujue🤓🤔🤣🤣🤣🤣...Now here we go
Nisomee jina Bobby😂
Sir Nunez aka Captain Chaos haha kashatuma ujumbe kwa Klopp huyu kwamba anahitaji meza kuu apewe nafasi ya kudumu.
YNWA



Yaaani hii Rebuilding ya FSG is doomed wakati wote yaaani muda ule unategemea waingie sokoni kuimarisha RB na CB wako bizy kucheza PR game mara wanamtaka yule mara huyu... Kuodoka kwa Ward na Edwards sio kwa bahati mbaya aisee waliona mbali sanaa... Klopp sasa is operating the club full suit kwenye usajili yaaani we are deep shit we need mother luck kwenye injuries na hawa kids wa step up in style ku cover pale wanapohitajika.Kwa LFC hivi sasa rotation inaumiza kichwa upande wa viungo maana namba ya viungo imekuwa ndogo sana +upande wa CB na RB, kwa forward hata sina shaka napo kbisa.
Acha uchokozi ujue...
Kumbuka tu namba ya jezi ni namba 8 inatosha as days goes mbona utalisema powaaaa
YNWA





mwuingereza wangu.😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 The boy for the big occasions... Aliwazima mdomo kimyaaa pointi 3 hizoo kuwapa...
Bila huyu dogo hii siku
Tungelala na viatu![]()
I was waiting for you, please teach me to pronounce that name
Si unajua hapa jukwaani nakuamini pekeyakomwuingereza wangu.
Bado kibabu thiago na yule Kipa wa akiba mspanish ambaye kila mwisho wa msimu wanampa new contractBabu Milner out
Babu Henderson out
Babu Kieta out
Dogo Ox out
Ulitisha sanaaaaaaaa aiseee yaaaaani na Bobby wetu huyoooo nae akasepa japo yeye kiroho saafiii
YNWA
😂 😂 😂 😂 Thiago atasepa tu nadhani kwa kua alikua majeruhi wakati dirisha lipo wazi haikua rahisi kumpata mteja..Bado kibabu thiago na yule Kipa wa akiba mspanish ambaye kila mwisho wa msimu wanampa new contract
🤣 🤣 🤣 🤣 Atupe kazi kazi hatuna neno na jina lake sie twajua namba 8 mridhi wa Keita au Steve G...Mwaka huu wameamua wamatumbi tujing'ate.
Shughuli ipo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dominik form is the domino effect there...
N so they said Mane didn't score as much....
Klopp hawa waarabu wakirejea January kwa Salah achukue mpunga ile chap atue kwa huyu dogo Khavicha ni kazi kazi 🔥 ....Bora hili jepesi kabisa.
Kuna fundi mmoja wa Napoli jina lake mzizi wa tiba asili “Khvicha Kvaratskhelia”
We all love this Liverpool club.. We may have different opinions with style of play, wachezaji, wamiliki nk nk lakini mwisho wa siku tunaitakia mema klabu yetu pendwa.. Changamoto inaanza pale wengine wapo direct kuona udhaifu ya baadhi ya wachezaji na kusema bila kuficha fulani na fulani ni kikwazo cha timu na muda huo huo Klopp anakomaa nao mpaka unajiuliza huko mazoezini Klopp anaona nini na huku uwanjani mbona ni wachezaji wasiofaa kuanzishwa..Klopp nae ni binadamu tutasimama nae lakini penye udhaifu tutasema... Wachezaji nao vile vile hatuna muda wa kuwafudisha wachezaji basics za mpira huku Kipara akiwa anachaja mbuga kusaka EPL ya nne continuously..Halafu hata tukishangilia ushindi
Atakuja kujimilikisha ushindi na kuanza kutukataza kushangilia
Akijiita yeye pekeyake ndio fan halisi,
Kisa tunaikosoa team inapochemsha.
Labda sijakumbuka vyema ila kama alipanda na kina Steringsidhani nafikir hapo mwishoni ulimaanisha Klopp. Maana Rodgers hakuwahi kumtumia Trent hata kwny Club friendly match.
Malafyale anaonaga pekeyake ndiye anaipenda LFCWe all love this Liverpool club.. We may have different opinions with style of play, wachezaji, wamiliki nk nk lakini mwisho wa siku tunaitakia mema klabu yetu pendwa.. Changamoto inaanza pale wengine wapo direct kuona udhaifu ya baadhi ya wachezaji na kusema bila kuficha fulani na fulani ni kikwazo cha timu na muda huo huo Klopp anakomaa nao mpaka unajiuliza huko mazoezini Klopp anaona nini na huku uwanjani mbona ni wachezaji wasiofaa kuanzishwa..Klopp nae ni binadamu tutasimama nae lakini penye udhaifu tutasema... Wachezaji nao vile vile hatuna muda wa kuwafudisha wachezaji basics za mpira huku Kipara akiwa anachaja mbuga kusaka EPL ya nne continuously..
All in all ni jukwaa huru maoni ushauri kwa lugha za kuheshimiana...
Mwendo ni ule ule hatutaki wachezaji wanaotembelea nyota ya wengine.. Kila mchezaji atupe tunachotegemea n we are good to go...
YNWA