Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiyo z ya pili inatamkwa mkuu yaani s haiwi pekee yake kuna s nusu na z nusu zinaungwa hapo.!!! Kamsikilize youtube akilitamka jina lake. Ni kama ukifika s kuna ka nusu kituo flan kisha inaitamka na ka z kwa unusu wake. Kubeki wa Hungary anaitwa Szalai.!!! Hii sz kwao inavyotamkwa mtihani. Wengine wanatoa z wengine wanatoa s ilimradi iwe rahisi kutamka.
Shughuli ipo.
Mi nasubiri tu voicenote ya Bobby akitamka ,nimuige.
 
YNWA
Screenshot_20230417_232317.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom