The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,509
Kulitamka sasa!
Simple tu mkuu “Soboszlai”
Kulitamka sasa!
Kumbe ile z inamezwa?Simple tu mkuu “Soboszlai”
Kumbe ile z inamezwa?
Yuu aa raiti cop, nimesikia namna watangazaji walivyokuwa wanalitamka, ni kama hivyoYah! 'Z' zote zinamezwa inabaki kama hivi 👇
Szoboszlai = Soboslai
But I stand to be corrected 🙏
Mwamba yuko fit pale middle!Yah! 'Z' zote zinamezwa inabaki kama hivi 👇
Szoboszlai = Soboslai
But I stand to be corrected 🙏
Daaa ila hawa watu wamempa sana pep pressure [emoji28],game ya moto hatari ...View attachment 2745337
Hii trio, iliukuwa hot sana. Ilikuwa ikikutana City na LFC unashuhudia mtanange wenye presha…!!!
They won us everything. We wish it could have been More if Klopp & FSG were in their Mind.
Nyakati nzuri sana huwa hazidumu muda mrefuView attachment 2745337
Hii trio, iliukuwa hot sana. Ilikuwa ikikutana City na LFC unashuhudia mtanange wenye presha…!!!
They won us everything. We wish it could have been More if Klopp & FSG were in their Mind.
Ngoja tuoneKubali tu Queen, that lead he is good ni ile injury aliyopata 2020/2021 akilitumikia taifa lake ndio imemfanya awe muoga mara dufu. Anacheza huku akiwaza kuumia. Kabla ya hapo he was something else.
Labda anaweza kurudi tena kwenye form yke na ikakuingia akilini ili uwe shahidi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji81] Bora hili jepesi kabisa.
Kuna fundi mmoja wa Napoli jina lake mzizi wa tiba asili “Khvicha Kvaratskhelia”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MACA [emoji1033]
Moises Caicedo anapewa somo na kiungo mwenye World Cup yake kibindoni , hapo zime kutana £115m na £35m [emoji41]View attachment 2743462
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaa ila hawa watu wamempa sana pep pressure [emoji28],game ya moto hatari ...
@Chugga kahamia Newcastle saiv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waliona wamepata
Kumbe wamepatikana
OllaChuga Oc kwahiyo mmeamua mjaze matakataka
Nyamnyam anasema mmejaza mazagazaga ya wachezaji[emoji1787][emoji1787] Cash Money Forever
Alihamia City@Chugga kahamia Newcastle saiv [emoji23][emoji23]
HeeUmeona? OllaChuga Oc [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2746997