Praying mantis
Member
- Apr 1, 2023
- 84
- 93
Mambo ya Marasta FC hayo
Mido hizi Tiago akiwa fiti hatufungwi na team yoyote Ile muhimu apangwe namba 6 Mac awe free prayer
Bajcetic yupo wapi? Huyu klopp huyu![]()
Yaani hata kumuwazia Thiago ni kujipa false homeMido hizi Tiago akiwa fiti hatufungwi na team yoyote Ile muhimu apangwe namba 6 Mac awe free prayer
Kind of Slobodan milosevicYah! 'Z' zote zinamezwa inabaki kama hivi 👇
Szoboszlai = Soboslai
But I stand to be corrected 🙏
sidhani nafikir hapo mwishoni ulimaanisha Klopp. Maana Rodgers hakuwahi kumtumia Trent hata kwny Club friendly match.Nazani upatikane mfungamano mzuri tu kule mbele team haina tatizo tena iliobaki ni kujazia tu.
Na hili lingewezekana kama Klopp angeamini vijana.
Anakera hata tukishinda na mechi tumeishika sub yake ni Milna Sasa kina Musialosky watazoea lini?
Anoldi alimkuta Rogers akimtumia tayali

Nipo ndugu.. Nimerejea mazimaaaa.Captain Marvelous popote ulipo dah! Kunahaja ya kutengeneza group la whatsApp ili tujuane vizuri maana huyu mwamba sijui yupo wapi mpaka sasa.
Saint Anne amehusika na hii biashara aisee hii kazi alisema lazima jamaa asepe kudadeki na amesepa.Baada ya Mauzo ya Henderson ndiyo nimepata muda wa kurudi kwenye huu uzi ambao nilishautelekeza
Bobby ake weweeee😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Saint Anne amehusika na hii biashara aisee hii kazi alisema lazima jamaa asepe kudadeki na amesepa.
Next ni Matip, Thiago January waachie nafasi kwa wengine.
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 Yaaaaaani umemtupa Henderson hukoooooo unastahili lunch bhana.Bobby ake weweeee😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂
Do you remember your promise???
I can't wait to have an amazing lunch with you.