Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Huyo atakuwa ni MalafyaleJORDAN BRIAN HENDERSON.
Kulikuwa na times, ambapo kuingia kwenye hii thread, ilikuwa ni kama kuingia gerezani au police station, at times ulikuwa unaona why bother? but kwa kuwa ni LFC fan, unaona acha niendelee ku-share kile nilichonacho kuhusu LFC na my fellow good reds, na hii ilikuwa siyo tu JF, bali kwenye platforms zote za LFC, but kilichokuwa kinaniuma zaidi ni kuwa harrassed & abused na my fellow black reds hapa JF, simply for giving out my opinions on Jordan Henderson, kwenye platforms nyingine nilikuw racial abused sana, but i didnt care, but hapa JF, kuna jamaa alikuwa ana-abuse sana watu ambao walikuwa na mtazamo tofauti kuhusu Jordan Henderson, kwa kivuli cha kujiita LIVERPOOL HALISI, utadhani ni born & bred scouser, kina Zumbe, Ngwaba, Don etc, wanakumbuka jinsi tulivyokuwa tuna-share our opinions kwa tabu sana, because one individual alikuwa kajipa mamlaka ya ku-dictate mawazo ya watu kwenye hii thread, yaani it was HELL.
I've been a Liverpool fan for a long time, nimeshuhudia na kuona good & bad players wengi sana wakija na kuondoka at LFC, na Jordan Henderson akiwa mmoja wao, personally, sikuwahi kukubaliana na signing ya Henderson tangu mwanzo, we paid £20m for him, mwaka 2011, na ndiyo ulikuwa mwanzo wa shida za LFC kwa kipindi cha misimu 3, hii ni signing iliyo-cost watu kazi zao, hii ni signing ambayo ilimfanya Brendan Rodgers ajaribu kumuuza au kubadilisha na Fulham kwa Dempsey, it was just a tragic signing.
Fast forward, akaja Klopp, then he moulded his game, improved his game, kutoka kuwa below average mpaka kuwa Average, it was under Klopp ambapo he enjoyed his best years as a footballer, mpaka akaanza kushinda individual awards, ambazo zilikuwa zinakuja na articles kibao za kuaminisha watu kuwa anastahili, na ukiachana na hizi articles, hizi individual awards zilifanya tuendelee kutukanwa sana humu ndani, but yote haya yaliwezekana chini ya JURGEN KLOPP, he MADE that dude, he gave him a DECENT career, ukiachana na misimu kadhaa nyuma, he was just a NOBODY kabla ya Jurgen Klopp kuja LFC, Jurgen Klopp ndiyo alifanya mpaka jamaa wa LIVERPOOL HALISI, kumuita jamaa kama ni best Liverpool captain ever (Yaani ni captain bora kuliko SG), why? because jamaa won everything chini ya JURGEN KLOPP.
Sasa, umefika muda ambao Club inahitaji ku-evolve, then jamaa anatoa makucha yake, ambayo tuliyaongea tangu muda sana, na tukatukanwa humu.
Mimi, nataka ni-discusa kuhusu msimu uliopita, kikubwa kilichosababisha tuwe na msimu m-baya sana ilikuwa ni MF mbovu, our whole MF was dead, Fabinho alikuwa kaisha, namba 8s zetu zote zilikuwa hazina cha ku-offer, apart from Thiago ambaye alikuwa injured karibia mzunguko wote wa pili wa league, so we had Henderson, Milner, Ox, Keita kama our senior 8s, na wote collectively hakuna walichokuwa wana-offer, ukichana na Fabinho ambaye alikuwa ana-struggle hali ilikuwa mbaya zaidi, then tukaanza kumtegemea a 18 year-old kid Bajcetic, baada ya yeye kuumia, tukaamua kubadilisha mfumo, Trent started to invert a lot more, na introduction ya Curtis Jones ikatupa cutting edge na mileage kubwa sana, baada ya senior MFs wote kuwa na msimu m-bovu, sasa it was so obvious kuwa Coaching stuff & the club, ni lazima inge-evaluate suala la MF baada ya disaster ya msimu uliopita, na ndiyo maana we ditched hata move ya Jude baada ya kuona tatizo la kwenye MF ni kubwa kuliko tulivyokuwa tunafikiria (well, tupo ambao tuliliongea hili tangu mwanzo), dirisha la usajili lilivyoanza, we signed two top class 8s lwa haraka sana, hapa CAPTAIN, akaanza kuona dalili za kukosa number, tunaongelea mchezaji mwenye miaka 33, ambaye hana chochote cha ku-offer uwanjani, na msimu uliopita uli-prove hilo, but hapa anaona kama kina Dominik na Macca wamekuja kuchukua namba yake, (remind you, this is a CAPTAIN), then anaanza kuhoji, kama bado ataendelea kuwa starter msimu, Klopp anamuambia HAPANA, na sababu zilikuwa wazi kabisa, kuwa we need to move on as a TEAM, sasa jamaa anaamua kuondoka, na kuna kitu nili-highlight hapa kwenye his farewell message hakumshukuru wala kumtaja Klopp, then juzi anakuja na interview, na kamtupa kikweli kweli Jurgen under the bus, how can you say kuwa Klopp kawaondoa (ubaya ni kuwa anaongelea wenzake pia), kwa makusudi ili alete wachezaji wapya? na how can you say, kocha kukwambia kuwa utakuwa ni squad player (at 33), ni kuhisi kuwa HUTAKIWI at the club? kwa maana ulikuwa unataka Club iendelee na kiungo kama cha msimu uliopita? kwa maana hiyo ulikuwa unataka Klopp am-bench Dominik (22 and a £60m signing), for you? kwa kipi unacho-offer? as a CAPTAIN ambaye umeshinda makombe yote, kwanini unaona shida kuwa a squad player at 33? kwanini hutaki team i-evolve kwa sababu ya your personal ego?
Unasema Klopp, kakuondoa kwa maksudi, this is the manager aliyekubeba wakati 70% ya LFC fans worldwide ilikuwa haikutaki, huyu Klopp kagombana na Michael Edwards kwaajili ya kukupigania upate mkataba mpya, huyu ni Klopp ambaye amesimama na wewe katika kila jambo, ulitaka akupe kipi zaidi? aendelee kukubeba at 33? wakati team inahitaji ku-move on? na Klopp alisema kwenye interview, kuwa "alikuambia kuwa utakuwa squad player, na kama utataka kuondoka, hatoweza kukuzuia", hayo ni maneno ambayo mtu yeyote angetarajia kwa kocha ambaye anataka ku-rebuild his team.
Mchezaji, aliyekuwa anatakiwa kulalamika hapa ni Keita, mbona kaondoka na hakuna baya aliloongea? kuna mchezaji ambaye LFC jornos wamemu-abuse kama Keita? NO. Jordan Henderson ndiyo alikuwa anaongoza kwa good treatment at LFC, Kina Takumi, Shaqiri, Ox, Keita, Origi etc wamekaa sana bench, sometimes walikuwa hawa-make hata matchday squads, lakini huwezi kuona wakimrusha Klopp under the bus, because wanaelewa essence ya football.
Captain, unalalamika kuhusu new signings? kwahyo unataka Club i-stuck? unaanzaje kulalamika kuhusu new signings baada ya matatizo yote ya msimu uliopita? mbona SG alivyoona miguu yake imeanza kuwa mizito, akakukabidhi kitambaa na kuondoka zake? why wewe ambae huna uwezo hata kidogo wa kuibeba team, ulalamike? na kuona unaonewa, tena at 33?
Kuna kipindi, nilisema humu, kuwa Klopp ataanza kugeukwa na bums wale wale anaowalea, leo mtu aliyekuwa anampigania kwa nguvu zote, ndiyo kaja na hiyo interview.
Na anavyoongea, suala la kuendelea kuwa starter, utadhani ni Salah, Mane, Firmino, Fabinho, Alisson, VVD, Robertson, Trent etc, ni bum tu aliyekuwa anabebwa na watu wenye uwezo ki-mpira, Fabinho kaisha at 29, kwasababu ya ku-cover ground ya jamaa, same kwa Gini.
A selfish Captain, nilitukanwa, humu kwa ku-doubt na ku-question, targeted articles za kina Pearce, Doyle, Dom King, Bascombe, Maddock etc kwenda kwa Keita, na nikasema Keita anaonekana ni threat kwa Henderson, ndiyo maana ya hizi articles, na Keita alianza kuwa attacked kabla hata hajaanza kucheza games za LFC, na zile injuries za mara kwa mara ndiyo ikawa shida, wakati Lallana alikuwa na same injury problems kama za Keita na ulikuwa huwezi kuwa articles za kumshambulia, na ninaamini ingekuwa ni same kwa Dominik kama Henderson angebaki, zingekuwa zinatafutwa sababu ndogo ndogo za kumu-attack Dominik kwenye media.
Na, ninashukuru Mungu, tumeanza msimu vizuri, lasivyo tungeanza kuona articles za kutosha kuhusu ku-miss Henderson leadership, as if msimu uliopita alikuwa hachezi uwanjani.
Speaking of leaders, VVD, Alisson, Robertson, Salah, Thiago, Matip etc, wote ni leaders na ni big TALENTS.
Hili suala la Henderson, naamini litakuwa ni big wake-up call kwa Klopp.
And, oh! LIVERPOOL HALISI, kikosi cha LFC kimejaa nothing but real footballers now, maana hata our part-time number 6 (Wataru), ni good footballer, itakuwa tabu sana kwenu kupata bum footballer wa kumtolea mishipa, labda m-stick na ADRIAN SAN MIGUEL now, maana mna fetish ya kushabikia wachezaji wabovu.
It took a while, but theres NO, Henderson, Lallana & Milner in the team now, and oh! Lovren, LIVERPOOL HALISI favourites.
LIVERPOOL HALISI, nawakaribisha kwenye show ya DOMINIK SZOBOSZLAI, in a week time at MOLINEUX STADIUM.

Kutokea Ushirika Tukuyu Mbeya.
Ila jamaa anaonaga kama pekeyake ndio shabiki halisi wa liver utadhani alikulia Anfield na akina Trent.
Naona inaingia inakataa
BREAKING: Virgil van Dijk is banned for another match and fined £100,000 
️