Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Halafu hata tukishangilia ushindi
Atakuja kujimilikisha ushindi na kuanza kutukataza kushangilia
Akijiita yeye pekeyake ndio fan halisi,
Kisa tunaikosoa team inapochemsha.

Hawa ni wale tunawaita top reds japo yeye hajafikia hiyo Level.

Tutakosoa tu na ndio ubinadamu huo.
 
Haiingii akilini

Kubali tu Queen, that lead he is good ni ile injury aliyopata 2020/2021 akilitumikia taifa lake ndio imemfanya awe muoga mara dufu. Anacheza huku akiwaza kuumia. Kabla ya hapo he was something else.

Labda anaweza kurudi tena kwenye form yke na ikakuingia akilini ili uwe shahidi
 
BREAKING: Virgil van Dijk is banned for another match and fined £100,000

This happens after labelling the referee John Brooks' decision to send him off against

waingereza wanawabeba sana marefa wao kiasi wanaharibu mno kwenye maamuzi, kiasi cha FIFA kutowaamini kuwapa mechi za kidunia licha ya kuwa na leseni zao kwani leseni hazichezi. Alichosema VVD ni “fucking joke” akishangaa how can that be a red card???

Atleast we will have Quansah, Matip and Gomez too. And our MF’s are so good currently.
 
MACA

Moises Caicedo anapewa somo na kiungo mwenye World Cup yake kibindoni , hapo zime kutana £115m na £35m View attachment 2743462

Hii price tag itamuandama sana Jamaa. Halfu usajili wake umekuwa maarufu si kwa bei ila deal lilianza january kwa Arsenal na Chelsea, baadae Chelsea wakarudi wenyewe wakashindwa deal wakalivaa LFC kisha Chelsea ikarudi tena plus is idiot Sarry.

Watu wanatarajia makubwa kwake na anataka kuprove majority wrong kwamba maamuzi yke ni sahihi na bei ni halali ndipo anaharibu zaidi.

Anyway he will come back stronger chelsea ikitulia, ila kwa sasa lets enjoy his blunders and banter him.
 
Karidhishwa na project ya sasa. Na ki ukweli ukiangalia inavutia sana. Kama tutapata DM January (especially Andrè) tutawaka sana msimu huu.
Nazani upatikane mfungamano mzuri tu kule mbele team haina tatizo tena iliobaki ni kujazia tu.

Na hili lingewezekana kama Klopp angeamini vijana.
Anakera hata tukishinda na mechi tumeishika sub yake ni Milna Sasa kina Musialosky watazoea lini?

Anoldi alimkuta Rogers akimtumia tayali
 
Bajcetic yupo lakin hamtumii yule dogo wakati kipindi tuna msimu mbaya yeye ndio alitunyanyua sana pale kati.
 
Arnolad aliweza kwa sababu ya injury ya Clyne ya muda mrefu. Good to him alijitoa na kufanyia kazi strength yake ya kupiga pasi za hatari ndicho kilimpa no. Mpaka leo.

Of course Klopp ana uoga wa kuwaamini vijana. Wakati ili uone ubora mpe mtu dakika kwenye mechi ndipo utapata wepesi wa kung’amua uwezo wake ni kiwango gani. Kwa mf. Quansah anapata game time kwa sababu ya Red ya vvd na injury ya Konate.

How i wish to see we have succeed to develop a player from our academy to the highest level.

Doak
Quansah
McConnell
Bajcetic

I wish good season to these lads.
 
Bajcetic yupo lakin hamtumii yule dogo wakati kipindi tuna msimu mbaya yeye ndio alitunyanyua sana pale kati.

I wish to see his play with our classy no. 8’s. Nafikiri atapata welcome back Claps from fans ya maana. Amesharudi kwenye full training w
 
IMG_3524.jpg

Hii trio, iliukuwa hot sana. Ilikuwa ikikutana City na LFC unashuhudia mtanange wenye presha…!!!

They won us everything. We wish it could have been More if Klopp & FSG were in their Mind.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom