MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,208
- 2,591
Narudia Tena football knowledge yako ni ndogo Sana......Liverpool ni timu kubwa but sio timu yenye pull kubwa kwa wachezaji elewa Hilo
deal la lavia it's possible Chelsea wametoa pesa nyingi kwa mchezaji Plus mkataba mrefu ambao utamfaidisha endapo utavunjwa
Deal la caincedo Liverpool hata haikuwa kwenye run ila baada ya Chelsea kuingilia deal la lavia ndo liver wakaingilia hilo deal then mchezaji mwenyewe akachagua Chelsea kutokana na mawasiliano yaliyokuwa Kat ya wakala wake na Chelsea it has nothing to do with pull power ya Chelsea
Kiufup weka pesa mezani watu waje pull power wanayo real Madrid na Barcelona pale england hakuna mtu wa kusema ana pull power kubwa pesa inaongea






