Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Cheik Docoure

The next man!

Tutapigwa £70m

Hiki kilabu
Imagine tumeacha kulipa £50m kwa Lavia tunaenda kwa Docoure. Tumeacha kumchukua Ugarte kwa £50m tunaenda kwa Docoure.

Sasa tunataka kwenda kwa Palhinha na bei ni £60m. Sasa ujione maajabu ya hii timu. Unamuuza Fabinho mwenye 29yrs unamchukua Palhinha mwenye 28yrs tena kwa dau kubwa.

Sporting director ametufelisha sana. Mchezaji inachukua weeks nearly months kuzungumza nae na bado unamkosa.

Timu toka preseason ilionesha madhaifu kwenye kuziba spaces lakini Hakuna effort iliyowekwa kuzuia hili. Hatimaye tunalazimishs Jones acheze DM or Mac Allister.
 
Hii timu ilijifia toka pale yule mholanz georgino wijlnadam alivyoondoka kwa upuuz wa klopp na Kisha yule msenegal akaja kumalizia (saidi mane)

Mchezaj akitak kuongeza mshahara bas anaachwa itafka wakat hii timu itakuwa Kama KITAYOSE TU jina kubwa maajabu haina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom