Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Moises Caicedo will have his Chelsea medical this morning ahead of completing his British transfer record £115m move from Brighton

Sky sport News
Aah we pambana na Timu lako la mickeymouse cup.
Utakufa bila UCL.
Timu kama City, Chelsea zimekukuta kwenye game ila zimekupoteza na zina miliki major trophy, na zimeshiriki mashindano makubwa ya Club duniani CWC( Mashindano ambayo arsenal haitashiriki mpaka unakufa).

Dogo acha ulofa.
 
hawa watoto wa klop wameniulia keka langu la week 2 nlipewa turbo nikaacha nliwapa gg&3+ nikajua wanatoa ila daah poor team yangu hujawahi nibariki hela kwa kweli.
 
Eti mpaka anakufa
Ila watu
Aah we pambana na Timu lako la mickeymouse cup.
Utakufa bila UCL.
Timu kama City, Chelsea zimekukuta kwenye game ila zimekupoteza na zina miliki major trophy, na zimeshiriki mashindano makubwa ya Club duniani CWC( Mashindano ambayo arsenal haitashiriki mpaka unakufa).

Dogo acha ulofa.
 
Cry more
tapatalk_1692007763822.jpeg
 
Hivi hawa FSG mbona wabahili Sana jamani

Kutoa £90M kwao n mtihan mzito na wakitoa itabid tusubir miaka 5 mingne
Mbona timu za kawaida kama Chelsea zinatoa pesa wao wanazitoa wapi?

Wakat kanuni n moja TU tumia unachoingiza in maana hawa FSG hawaingizi?
 
Timu za kawaida kama Chelsea unamaanisha nini mkuu.
 
Hii kweli Looserpol
Roméo Lavia decides to join Chelsea as next club and step for his career. It has been communicated to Southampton — ready to close deal between clubs

Chelsea are prepared to pay £50m fixed fee plus add-ons, as @David_Ornstein reported.

#CFC want it done by Tuesday.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom