passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,527
- 12,507
Hii ni adhabu ya kuingilia maadili ya wanaume.
Hii ni adhabu ya kuingilia maadili ya wanaume.
Kukataliwa kubaya ,kusikie tu
Huyo dogo sijui ni fala?Naona tumepeleka £60m kwa Lavia, mara naye aringe aitake chelsea







Kwahiyo Liverpool ni timu ndogo kwa AC Milan au Real Madrid kwasababu zinaizidi Liverpool kwa makombe yote makubwa?Yaani hamna kombe inaweza izidi timu kubwa kama Liverpool Kwa idadi kimafanikio ndio alivyomaanisha au Chelsea Kuna kombe limeizidi Liverpool ndio maana kasema timu ndogo
Nimekuuliza Liverpool ni ndogo kwa Real Madrid na AC Milan?Timu kubwa ni kombe huwezi piga kelele wakati hujaizidi timu kombe mzeee wewe wawapi
Enzo na Thiago Silva msimu uliopita Ndio wachezaji walikuwa kwenye form japo tulikuwa na msimu mbaya sanaSio ushabiki Caicedo ni DM mzuri labda mambo yaende tofauti ila jana hamuwezi anza kumsifia enzo kwamba kafanya frxh akati amekutana na liver amabyo haina Dm mbn msim ulio pita alikuepo aliweza kutamba mbele ya fabinho au mnajisahaulisha kidogo
Sasa kuna timu kubwa duniani kuizidi Real Madrid?Nimekuuliza Liverpool ni ndogo kwa Real Madrid na AC Milan?
Naona kama haujielewi Fulani hivi Liverpool ipo Italia au spain nimekuambia jumlisha makombe yote kama Kuna kombe umeizidi LiverpooL litaje Chelsea Kwa Liverpool ni katimu kadogo sanaaa halafu ukiongelea magiant uefa ni Real Madrid ac Milan na Liverpool au unafikili Milan hayo makombe 7 ya uefa alipewa tu kama pipiNimekuuliza Liverpool ni ndogo kwa Real Madrid na AC Milan?
Enzo na lukaku nani alisajiliwa na bei kubwa?Nimemzungumzia Enzo au Lukaku?
Mbona umeshindwa nijibu? Si nyie wakat mnamsajili lukaku mlikuwa mnapiga sana kelele oooh akija atafunga sana, sikatai kuwa Enzo alisajiliwa kwa bei ghali kuliko lukaku ila usajili wa Lukaku kila mara ulikuwa ni tishio kwa kila mtu mleEnzo na lukaku nani alisajiliwa na bei kubwa?



🤣🤣🤣🤣🤣Kukataliwa kubaya ,kusikie tu
Hata Chelsea haikuwa na kiungo mkabaji Conor Gallagher na Enzo wote hao sio viungo wakabaji kiasili ni attacking midfielders Ila wamelazimika kucheza DM ni kwasababu hatuna kiungo mkabaji kante, kovacic Ndio walikuwa DM wetu ila tumewauza na Ndio Maana Chelsea wakawa wanamtaka sana Caicedo na hatimaye tumempataMtateseka sana na Hayo masokwe wanaotafuta kiki kupitia Liverpool sisi tunawasomantu mmeshindwa kutufunga tukiwa hatuna kiungo mkabaji tena mkiwa kwenu ngoja mkanyage anfield na hayo masokwe yenu mliyoyajaza kwenye timu
Hata wa Enzo ulikuwa gumzo kuliko Lukaku kwasababu kuu mbiliMbona umeshindwa nijibu? Si nyie wakat mnamsajili lukaku mlikuwa mnapiga sana kelele oooh akija atafunga sana, sikatai kuwa Enzo alisajiliwa kwa bei ghali kuliko lukaku ila usajili wa Lukaku kila mara ulikuwa ni tishio kwa kila mtu mle![]()
Sasa kwani Chelsea ilikua na kiungo mkabaji?Endelea kuteseka umeshindwa umeifunga timu Haina kiungo mkabaji tena kwako ukija anfield wewe ni maiti
Klopp juzi alisema dili la caisedo done imekuaje tena ???Klopp ni mda wa kutafuta CB na DM kivyovyote vile sio lazima Lavia wala Caisedo