Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Endelea kuteseka umeshindwa kuiifunga timu Haina kiungo mkabaji tena kwako ukija anfield wewe ni maiti maana ni Chelsea ni timu ndogo sana Kwa Liverpool
Hata sisi tulikuwa hatuna kiungo mkabaji mbona Hili ulikubali? Na pia kumbuka tuna kocha mpya na team ipo kwenye ujenzi maana tumeuza almost wachezaji 7 wa first eleven Kante,Kovacic, Eduardo Mandy, Kai, Mount n.k
 
Possible kuna Uzungu ndani ya Liver, Timu ya Malkia/Mfalme, na labda ndugu zetu weusi wameshtukia na kuifanyia makusudi.
Au kuna campaign ya chinichini ya blacks hasa kutoka Afrika against Liverpool.

Sio suala la Kocha, bali mfumo mzima wa Timu kuanzia Misingi yake.

Nawaza tu, maana inastaajabisha kama ni kweli.
 
Liverpool ni timu kubwa but sio timu yenye pull kubwa kwa wachezaji elewa Hilo
 
🥱
IMG_20230814_204212_022.jpg
 
Huyu pimbi simuoni akituma zile emoji zake za kujichekesha tena (sema afya ya akili nalo ni tatizo)
Mzee zile emoji zimekaa kucheka ila zile emoji ni kulia yoyote anayetumia zile emoji basi anakua na maumivu ya moyo ila ndo hivyo anajifariji kwa kucheka
 
Moisés Caicedo: “I am so happy to join Chelsea! I am so excited to be here at this big club and I didn’t have to think twice when Chelsea called me”.

“I just knew I wanted to sign for this club, Chelsea”.

“It’s a dream come true to be here and I can’t wait”.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom